oooooooooooohps!

thanx love
you are welcome my dear. wengi watakuja na negative comments ila usiwazikilize. kua makini ila kama ndani ya roho yako unahisi ni wako forever basi ndio ukweli huo. work hard to be perfect for him, he will be perfect for you. ukufocus kwenye negatives unasahu kujipanga mwenyewe na kua positive... mbona kuna wengi wanaishi mapenzi ya fairy tale? mashaka yetu wenyewe wanawake ndio yanatuharibia...
 
point taken mpz
 
Labda umuumbe mwenyewe!
we nawe unataka kusema nn sasa mana umekaa kimajungu mnooo................sasa kwani tunasutana hapa lo!..inahuuuuuuuuuuuuuuuu
 
unaweza kumpata ila unatakiwa kuhakikisha hakuna magomv
 
unaweza kumpata ila unatakiwa kuhakikisha hakuna magomv
sasa izo njia za kumapata huyo mwema ndio nazitaka bila u komando ndani ya house..now tell me how do i find mr right guy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…