oooh my god...

oooh my god...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
KULAA HII.jpgatareeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Bed sores anaweza kupata mtu yeyote alieugua ama kushindwa kutoka kitandani muda mrefu, na hatumii godoro maalum ambalo lina-massage misuli taratibu. Kuoza hakuletwi na kuumua makalio, acheni waumuaji na wauzaji wajinafasi jamani.
 
AAAAH MKUU....sina utaalamu huo ila bibi yangu aliugua kwa miaka 17 na alikuwa ana lalia kitanda cha kamba mbona akuoza wowowooo..siku bishi ila nataka kujua
 
Hivi mbona wachina wenyewe wana vikalio vidogoo kama ufuta lakini ndo wa kwanza kutuletea madawa ya kukuza hizo nundu za kukalia.
Wao hawataki makalio makubwa?
 
Back
Top Bottom