Ni mwanamama mwenye watoto watatu 10,yrs 7yrs and 3years
Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumfukuza kwake saa saba usiku na wanae na kukimbilia kwangu kisa eti mwanamke anamfata fata sana hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa .....Hii ndio maana ya ndoa?
Mie kama mwanamke kwanini machozi yasinitoke .nimewaza na ,nimeumia sana juu ya hili labda inaweza kutokea kwangu pia..
Wanaume kwa nini mnakuwa wakatili hivi??
Hamuoni huruma juu ya watotokwa watoto wadogo wanaohitaji mwongozo wa wazazi ?
kwa nini kuwatesa watoto usiku wa manane na kuwaamsha kama wakimbizi ndani ya nyumba yao ?
Hali hii ya manyanyaso itaisha lini ??
mie ctaki utishike, lakini hapo hapo ucweke kifua mbele sana, kuna raha/karaha zake humo,nasubiri mualiko tu haya ya humu yaachie humu humu mami, sawa dearest?
bihechitiii-bht harafu harusi yako wewe nataka nikusimamie usiseme ooh hatuendani wewe mnene mala skeletoni ..tuma mapema mwalikomore than serious
1st lady pole sana mamaa kwa yaliyompata rafiki yako mpenzi. Si wanaume wote wanapiga wapenzi wao au wake zao. Wenye tabia hiyo ya kiharamia kwa maoni yangu wana tabia za kinyama kabisa kwa sababu hakuna kosa lolote linalostahili mwanamke apate kipigo kutoka kwa BF wake au mume wake. Huwa nawashangaa sana wanaume wenye tabia hizi za kiharamia ambazo hazistahili kabisa kuwepo katika dunia hii ya leo. Kama una mtu mwingine pembeni ambaye unampenda sana basi achana na huyo uliye naye kwa amani ili uendeleze mapenzi yako kipande kingine.
FirstLady1!!!hebu try to check out na upande wa pili wa shilingi!!usije kutoa lawama kabla hujajua mr anasemaje!!huenda ukimsikia mr. utamfukuza hata huyo friend wako,kuwa mvumilivu kidogo kabla ya kutumwagia lawama!!
1st ledi omba ruhusa mm ni kulwa bht doto
hahahah haya Kulwa niruhusi bathi mie ila nimemwambia asiseme ooh huyu tall ,short ,skeletone ,nyambizi no....
Je na wale watoto walikuwa na kosa lipi hata kufukuzwa usiku wa maneno ...kama jirani yao mie nisingekuwepo hao watu wangelala wapi?vitu vingine inapaswa kufikiriaFirstLady1!!!hebu try to check out na upande wa pili wa shilingi!!usije kutoa lawama kabla hujajua mr anasemaje!!huenda ukimsikia mr. utamfukuza hata huyo friend wako,kuwa mvumilivu kidogo kabla ya kutumwagia lawama!!
Ni mwanamama mwenye watoto watatu 10,yrs 7yrs and 3years
Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumfukuza kwake saa saba usiku na wanae na kukimbilia kwangu kisa eti mwanamke anamfata fata sana hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa .....Hii ndio maana ya ndoa?
Mie kama mwanamke kwanini machozi yasinitoke .nimewaza na ,nimeumia sana juu ya hili labda inaweza kutokea kwangu pia..
Wanaume kwa nini mnakuwa wakatili hivi??
Hamuoni huruma juu ya watotokwa watoto wadogo wanaohitaji mwongozo wa wazazi ?
kwa nini kuwatesa watoto usiku wa manane na kuwaamsha kama wakimbizi ndani ya nyumba yao ?
Hali hii ya manyanyaso itaisha lini ??
we binti wewe thirudii tena kujiombea gharama zote hizo mie wakati ni juu yenu kuninunulia mie best wenuhaina tatizo mamito ilimradi utaprovide nguo za mama/baba,mm,mdogo wetu wa mwisho,bibi/babu,za kaka yetu aliekuwa marekani na yule mwingine france zey will shop for them selves,yule dada yetu aliyeolewa dubai hana shida pesa mbongo,ngoja nichek na Twini atakwambia nani mwingine umnunulie on her weddng dei
we binti wewe thirudii tena kujiombea gharama zote hizo mie wakati ni juu yenu kuninunulia mie best wenu
kwa eeh kwa heri
kwa suala la watoto hapo hilo linaongeleka!!nadhani mtu mzima hapo hasira iliishinda busara!!naamini right now atakuwa anajutia!!!ila lile la mama nabaki kushikiria msimamo wangu wa wewe or someone else akaongee na huyo bwana!!!Je na wale watoto walikuwa na kosa lipi hata kufukuzwa usiku wa maneno ...kama jirani yao mie nisingekuwepo hao watu wangelala wapi?vitu vingine inapaswa kufikiria
bihechitiii-bht harafu harusi yako wewe nataka nikusimamie usiseme ooh hatuendani wewe mnene mala skeletoni ..tuma mapema mwalikomore than serious
1st ledi omba ruhusa mm ni kulwa bht doto
haina tatizo mamito ilimradi utaprovide nguo za mama/baba,mm,mdogo wetu wa mwisho,bibi/babu,za kaka yetu aliekuwa marekani na yule mwingine france zey will shop for them selves,yule dada yetu aliyeolewa dubai hana shida pesa mbongo,ngoja nichek na Twini atakwambia nani mwingine umnunulie on her weddng dei
ahhhhhhhhh mama!tulia basi pressure ya nn!mbona hatuna gharama?vijimambo vidogo tu hivi
Binamu naogopa kukaa na mke wa mtu na familia yake hivi mmewe akija kunishushia kipigo namuhifadhi mkewe bila ridhaa yake ..
Tafuta njemba na wewe ili kama siku akija kutaka kushushia kipigo atakumbana na njemba yako