Oooh Gosh. kwa nini mnakuwa hivi jamani.....?

Kaizer nyie wenyewe mnadai ukimpeleka mmeo police basi ndoa hakuna tena ..unalionaje hili binamu?

kweli hata mimi mke akinilaza polisi ndooa ndio inakua imeishia hapo!!!!!!! labda aje na yeye tulale wote humo selo ndio atakuwa amefanikiwa kuilinda isivunjike..................
 
nilitokea huko mie, nakwambia nilikuwa siulizi kitu kabisa kabisa, matokeo yake alikuja kunibadilikia kwamba mie cmjali, aje saa 6 cjui saa ngapi mie walaa....cku ya cku alikuwa wa kwanza kuomba samahani na kunieleza alifanya yote hayo coz kuna maneno mamake alimwambia na akanielezea kila kitu i was shocked...wanaumiaga sana wacpofatiliwa hawa...yupo kwenye mstari sasa hivi mana anajua mkewe kichwa maji...haaa ndoa ngumu bwana!

hahahaaa wako alikuwa anakutest!!!!!!!! hongera lakini mlimudu kuvuka salama. sasa unaona?????????? , kama ungekuwa unampokea na kuuliza kachelewa wapi, angeamini kuwa unamjali lakin ungempokea na matusi na kashfa, angekudunda lazima. hekima inalipa sana wapendwa............
 
safiii,kip ur spirit high lady!

here you come my dear!! akupeleke yeye afu tena aje mlale huko selo, sasa si bora mngekaa home pamoja mkaanza mchakato wa kujisuluhisha
 
FL1, nia yenu ni njema kabisa na dhamiri yenu ni safi na takatifu. tatizo la wengi wenu ni lugha tu. mnashindwa kujua maneno gani mtumie na kwa ukali kiasi gai mnapowasiliana na waume zenu hasa mnapohisi mmekwazwa. hapo tu dia. mkipamudu, mtapunguza haya matatizo yaletwayo na magomvi nadani ya nyumba.

kusomeka naamini tunasomeka, labda pia inategemeana na competence ya mama ya kumjua mwenzake. wengi wa wanawake wanajua sana mume anataka nini na nini hataki lakini wanadanganya na mashoga zao. wanataka kulazimisha jmbo aliloshauriwa na shoga ake kwa mumewe na matokeo yake ndio kama hivyo........

thanks AK kuna kipindi nilijaribu kuwa mkimya zaidi nikaambiwa kiburi
nikajaribu kuongea nikaambiwa mjuaji
ila thatha najitahidi kuwa vere nyuturo;)
 
Sometime akina mama muwe mnakubali matokeo kama baba hataki uguse kilong longa chake si uache muendelee kufrahia ndoa jamani matatizo mengine akina mama huwa mnajitakia mzingatie mipaka yenu mliyo jiwekee. Ndoa nyingi zinavulugika kwa kufuata uzungu mapenzi ya Isidingo.
 
mmh jamani haya mambo ya mahusiano magumu

FL1 nisaidie hapo kwenye nyutro unakuwaje mpendwa maana na mie hizo bold nimezieksipiriensi sana tu
 
kweli hata mimi mke akinilaza polisi ndooa ndio inakua imeishia hapo!!!!!!! labda aje na yeye tulale wote humo selo ndio atakuwa amefanikiwa kuilinda isivunjike..................

Hahaha dah umenikumbusha wiki iliyo pita dingi aliwekwa lock up na maza kisa ubabe ndani ya nyumba mweh lakini bado wana dunda tu ugomvi wa wana ndoa siku zote si wakuingilia maana naona pendo lao ndo limezidi mara dufu sasa.
 
nilitokea huko mie, nakwambia nilikuwa siulizi kitu kabisa kabisa, matokeo yake alikuja kunibadilikia kwamba mie cmjali, aje saa 6 cjui saa ngapi mie walaa....cku ya cku alikuwa wa kwanza kuomba samahani na kunieleza alifanya yote hayo coz kuna maneno mamake alimwambia na akanielezea kila kitu i was shocked...wanaumiaga sana wacpofatiliwa hawa...yupo kwenye mstari sasa hivi mana anajua mkewe kichwa maji...haaa ndoa ngumu bwana!

hahaaaaaaaaaaaaaaa mama ushauri nilikumis ujue!!!!!!!!!!!1 dah wewe kweli nataka tukutane as soon as u are here kutoka huko kwetu!!!
 
here you come my dear!! akupeleke yeye afu tena aje mlale huko selo, sasa si bora mngekaa home pamoja mkaanza mchakato wa kujisuluhisha

yes!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

yaani hasa ndilo nililotaka kusema nikaamua kuacha wengine waconclude. amini usiamini dear. suluhisho la kweli ndani ya ndoa wanalo wanandoa wenyewe, wawili tu. uki-involve third parties ni chaos! na hata mkipatana huwa ni temporary tu.

jamani ukitaka mtu ajutie ubaya wake kirahisi, mtee wema, hapo umemaliza. hebu imagine, mtu kupiga labda umevimba mwili mzima ukamuita polisi, halafu nawe unachuua virago vyako kuelekea polisi. kufika plisi unawaambia humu ndani nadhai pana usalama wa kutosha na mim naingia kulala humo kwani mume wangu mpenzu yuko humo, siwezi kumuacha alale peke yake!!!!!!

unajua utawashtua wote na hata mumeo akisikia hayo, ndipo atajiona mjinga kupita wote kumpiga mtu anayempenda kwa kiasi hicho, na nakuapia toka siku io hatakupiga tena na hao polisi watakuheshimi mwisho.....................
 
Twini nadhani for me hapo nikuwa kivyangu zaidi yani sijali nimepigiwa but mm sipigi,yani siulizi kitu akicheka ntacheka akinuna na mi ndo kabsaa,yani in short bendera ufuata upepo!thats me na kiburi nilichonacho to pple who do not respect my dignity
mmh jamani haya mambo ya mahusiano magumu

FL1 nisaidie hapo kwenye nyutro unakuwaje mpendwa maana na mie hizo bold nimezieksipiriensi sana tu
 
Sometime akina mama muwe mnakubali matokeo kama baba hataki uguse kilong longa chake si uache muendelee kufrahia ndoa jamani matatizo mengine akina mama huwa mnajitakia mzingatie mipaka yenu mliyo jiwekee. Ndoa nyingi zinavulugika kwa kufuata uzungu mapenzi ya Isidingo.

hahaha wewe Fidel80 lakini kama nyie tayari ni mwili mmoja kwanini msiwe pamoja katika kila kitu???
 
Sometime akina mama muwe mnakubali matokeo kama baba hataki uguse kilong longa chake si uache muendelee kufrahia ndoa jamani matatizo mengine akina mama huwa mnajitakia mzingatie mipaka yenu mliyo jiwekee. Ndoa nyingi zinavulugika kwa kufuata uzungu mapenzi ya Isidingo.
Ha ha ha mkuu hiyo nyekundu umenikumbusha mabali sana!! Uzungu bana kazi kwelikweli!
 
FL1, nia yenu ni njema kabisa na dhamiri yenu ni safi na takatifu. tatizo la wengi wenu ni lugha tu. mnashindwa kujua maneno gani mtumie na kwa ukali kiasi gai mnapowasiliana na waume zenu hasa mnapohisi mmekwazwa. hapo tu dia. mkipamudu, mtapunguza haya matatizo yaletwayo na magomvi nadani ya nyumba.

kusomeka naamini tunasomeka, labda pia inategemeana na competence ya mama ya kumjua mwenzake. wengi wa wanawake wanajua sana mume anataka nini na nini hataki lakini wanadanganya na mashoga zao. wanataka kulazimisha jmbo aliloshauriwa na shoga ake kwa mumewe na matokeo yake ndio kama hivyo........

kwenye blue, yeye kurudi ucku ni nani kamkwazamwenzie hapo?...hakunaga lugha hapo hata muulizwe kivp kama mmedhamiria ni mtafanya tu, rafiki yangu aliuliza kiupole akaishilia kulazwa bira na mie ninaeuliza nikibwatuka bwana.
hapo kwenye red naweza serma labda wamama wa nyumbani ndio wana muda wa kukaa na kuongelea waume zao kwamashoga, mtu upo kazini saa2 saa 12 unaingia home, uiandae nyumba na shughuli za hapa na pale saa ngapi unapata muda wa hayo mambo?
 
Twini nadhani for me hapo nikuwa kivyangu zaidi yani sijali nimepigiwa but mm sipigi,yani siulizi kitu akicheka ntacheka akinuna na mi ndo kabsaa,yani in short bendera ufuata upepo!thats me na kiburi nilichonacho to pple who do not respect my dignity

dah hiyo mi nilipractice sana (twin you knw wat I mean)
lakini ndo unaishia kuambiwa mwanamke mjuaji na kiburi
open your mouth utaambiwa un mfomo sana
aaaaaaaaaaaaaahhhh wengine labda we were not meant for this jamani.....

wanaume hebu semeni mnatakaje kwani???
 
Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa na
- anamfata fata sana
- hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,
- hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa

Tatizo lenu hamjui ni wakati gani wa kumuuliza mwanaume swali A B na C!
- Maisha sasa ni magumu, mumeo akiwa na elfu tano halafu wewe unamuuliza mabati ya kuezeka nyumba yetu ya Kigamboni tutanunua lini hii ni tantamount na TUSI la Nguoni!

Katikati ya Mwezi sio muda muafaka wa kuulizana "MAENDELEO YA FAMILIA"! Tegea kuanzia Tarehe 28 ya mwezi mapaka 5 ya mwezi unaofuata baada ya hapo muache andelee kulala baa (BIA za OFA hizo)!
 
hahahaaa wako alikuwa anakutest!!!!!!!! hongera lakini mlimudu kuvuka salama. sasa unaona?????????? , kama ungekuwa unampokea na kuuliza kachelewa wapi, angeamini kuwa unamjali lakin ungempokea na matusi na kashfa, angekudunda lazima. hekima inalipa sana wapendwa............

to b honest wit u, hilo ndio lilikuwaga swali langu la kwanza anapoingia tu ndani, nikaona hapa nitajitesa, nikauchuna! kuna wengine tuna vipaji vya kuuchuna eti, kama vile hakuna linaloendelea, anakoma mwenyewe.
 
Ha ha ha mkuu hiyo nyekundu umenikumbusha mabali sana!! Uzungu bana kazi kwelikweli!

uzungu upi mnaozungumzia hapa jamani??? urudi usiku nisikuulize, nichekelee ndo uafriza/uswahili au ndo kudumisha tamaduni
Kimey na Fide hebu wekeni wazi .............
 
Back
Top Bottom