Jamani,
Ukisema wanasiasa wameiharibu TANESCO,una maana gani?...maana yake ni kuwa TANESCO ni shirka la serikali.Historia inaonyesha kuwa serikali ina maamuzi ya kisiasa mno!
So,why do we want to give kiwira back to the government?...so they can have their cadres make decisions for it?...nah,I dont think it's a good idea.
TANESCO's failure is TANESCO's failure,and if you say politicians ruined TANESCO,thats even worse because we don't want politicians hands in kiwira again....so rule TANESCO out,unless they completely overhaul it!
Two of the largest pension funds - the National Social Security Fund (NSSF) and the Parastatal Pension Fund (PPF) - have been criticized for engaging in risk concentration, putting too much of the workers' money in real estate and office accommodation. Worse still, there have been occasions where some pension funds have been lending billions of shillings to well-connected businessmen.
a. Ni kitu gani kiliwafanya NSSF kukubali kumpatia mkopo Tanpower (Ya Mkapa na Yona) kwa masharti ya kurudisha katika miezi sita?
b. Kwanini baada ya Tanpower kushindwa kurudisha mkopo (tangu 2007/2008 NSSF hawakuchukua hatua za kuwadai Mahakamani?
Excellent!
JF members maswali a na b hayo hapo juu tusaidiane tafadhali.
Hapa kulikuwa na thread inayozungumzia UFISADI uliokithiri kule PPF na huyu mheshimiwa hakuja kuleta hoja ya kuuliza kitu
Pension Funds zinginezo zinafanya mambo mazito kama NSSF lakini huyu bwana amemngangania tuu Dr Dau...au kwa sababu jina lake ni RAMADHANI?
na mkitaka ushahidi tazameni threads hizi hapa:
Sasa mkishasoma posts zake humo ndio mtaelewa kuwa hata mseme nini au mlete ushahidi wa namna gani, huyu bwana alishamake up his mind ages ago.
Watu wengine pasua kichwa haswa!! Sijasema audit firm iombe mkuu,kisheria CAG anaweza kuteua Audit firm yeyote yenye sifa kufanya kazi kwa niaba yake.umekurupuka mkuu.
"Ooh Poor NSSF!! - What is this?"
What is so poor about that?
What do you mean about "What is this?"
If you do not know what NSSF doing, it's called, diversified investment.
Its very normal for Social Security Funds, not only in Tanzania, to invest in energy related projects.
Is there anything wrong with that?
Nguruvi,
NetGroup was actually brought by the world Bank(WB policies require private participation in energy sectors for a state to get funds) in cooperation with SIDA.It was a management contract with the aim of getting TANESCO ready for privatisation.At that time,TANESCO was under PRSC which directly report to the President's Office.The whole contract cost was 19m$,and SIDA provided a 10m$ grant.
TO ANSWER YOUR QUESTION,revenue collection went up from 10m$ annually to 24m$ by the end of the contract!!....again,like I said earlier,TANESCO didn't like the contract because the second phase,which was about technical improvement in transmission and prevention of power loss was impractical due to too much government intervention coupled with corruption in all levels.
Huwezi kupata kazi ya Audit bila ku bid mkuu kwa kuainisha uzoefu,idadi ya staff na qualifications zao na proposed audit fees za audit firm yako ili kampuni husika ichague itayoifaa lakini hata TRA Dept of large tax payers wameainisha ukubwa na uzoefu wa firm ku audit kampuni zilizo kwenye hiyo category.lakini mkuu turudi kwenye hoja ya msingi tuache kutafuta pa kuibua mjadala ndani ya mjadala,I'm out of this sh*t man!Inaelekea hata unachopost huwa hukielewi! kwenye COMMENT YAKO UMESEMA CAG atangaze tender au hujui maana ya kutangaza tender?? kutangaza tender maana yake wenye sifa ya kufanya ulichotangaza huwa wanaomba that is why nimekufundisha kuwa kazi za Audit huwa hazitangazwi kama tenda ya kujenga matundu ya vyoo, badili tabia yako ya kuandika usichokijua.
Kwa nini sasa hivi tukianza kujadili hoja muhimu kama hii tunaibadili kuelekea kusiko kwa kuingiza dini au kabila ya kiongozi wake mkuu? NSSF ina bodi yake ya WADHAMINI. Ramadhani Dau hafanyi maamuzi mazito kama haya bila idhini ya bodi hii. Kwa nini anaandamwa Dau peke yake?
Najaribu Kufuatilia hii thread lakini kila nikija kwenye michango ya mdondoaji napoteza "trends of thought" na najikuta inabidi nirudi nyuma kwenye hoja ya msingi being discussed!......I think Mdondoaji is very clever, sidhani kama anaamini kweli kwamba Mwanakijiji anamatatizo na Dr. Dau kwasababu ya dini yake..ila lengo lake nikuuchanganya huu mjadala watu washindwe kuufutilia!!!
Mdondoaji please kosoa hoja sio mtoa hoja!!
I think it is sufficient to comment on one sentence that you think Mwanakijiji is discriminating against Muslims(as your opinion), but after that it is only fair if you either don't contribute any further or contribute constructively (criticise/support with solid points) on the substance of the issues being raised!!!
Siri: ukiona mtu anaonglea udini, ukabila na rangi,ni dalili za uwezo finyu wa kufikiri, kutambua au kuchambua! ni hatari sana wanamna hiyo
The government doesn't own kiwira!!What transpired when transformation took place i.e. government-Tanpower-government-NSSF. Is it not weird? It is only nincompoop who will sell assets to vendors for 1000 shs and re-buy for 2000shs. What's going on here!