tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,440
Au kuna jambo ambalo hatulijui?
kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF
haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili
Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
Tutamtegea mtu kutokana na umakini wake na akipoteza umakini nasi tunampotezea kama mifano yako ya watu ulioitoa.Sasa tumeanza kumtegemea Mwanakijiji too much! hatujifunzi tu walivyotutenda wakina, Mtikila, Mrema, Lipumba na huyu Kijana. Hili zigo letu wote mwenzio akienda huku wewe unaenda huko, tukija kutana ngoma inogile!
Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
Dr Dau ni muislamu swafii kwa maneno ya mjini na ni sala tano kila mtu anafahamu hilo je what is your point?Mambo haya huwa yananikumbusha bwana mmoja anaitwa Dr Ali S Mcharazo, Director General wa Tanzania Library Services. Kwa jina lake unaweza fikiri ni muislamu kumbe wapi!
Au kuna jambo ambalo hatulijui?
kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF
haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili
Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
Dr Dau ni muislamu swafii kwa maneno ya mjini na ni sala tano kila mtu anafahamu hilo je what is your point?
Kwa wewe unayemjua ni sawa ila kwa siye tunaosoma au kusikia jina tu sio rahisi kuhusianisha jina na dini ya mtu kwa uhakika. Na William nae vipi? Unauhakika na dini yake?
My point ni kuwa tumezidi mno kuangalia mambo kutokea kwenye perspective ya kidini/udini!
Kwenye red hapo, 'kila mtu' una maana gani?
huu ni upuuziHana lolote huyo zaidi ya kusukumwa na UDINI tu
Au kuna jambo ambalo hatulijui?
kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF
haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili
Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
Mbona sisi wanachama hawatushirikishi hata siku moja jamani, yaaani fedha ni yetu halafu weneyewe wanatupangia tu. hata aibu hawana , kweli sisi ni majuha!
Au kuna jambo ambalo hatulijui?
kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF
haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili
Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
Hana lolote huyo zaidi ya kusukumwa na UDINI tu
....Mwanakijiji kila kukipambazuka anatubandikia nakala za NSSF na kuwatuhumu mafisadi wakati mafisadi wa kweli wapo kule PPF hawagusi. Sasa huu ni msimamo gani kisomi? Au ndio ule msemo kunya anye kuku akinya bata kahara??? Sipendelei kuwataja majina yao hawa wakuu wa mifuko yetu ila ndio tuseme Dr Dau Bata na kuku ni William Erio??
Au kuna jambo ambalo hatulijui?
kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF
haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili
Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
awe muislamu swafi au chafu we dont care, lakini hela zetu za michango ziwe salama. unaleta ya uislam safi hukumbuki Alhaji Mintanga aliwasakizia mabondia madawa ya kulevya mpaka sasa yuko lupangoDr Dau ni muislamu swafii kwa maneno ya mjini na ni sala tano kila mtu anafahamu hilo je what is your point?