Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,815
- 218,476
Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi .
Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi karibu wote kabisa kuchuja pumba na mchele, ndio mahali pekee pa kuaminika pa kuchota habari zote zinazohusu viongozi na wagombea watarajiwa, hizi ni taarifa ambazo tumezikusanya baada ya kufanya ziara ya kitafiti kwenye vijiji zaidi ya 10 vya wilaya ya Kyela ikiwemo, Kilasilo, Njugilo, Lubele, Isaki, Kabanga, Makware, Ngonga, Kajunjumele, Katumba Songwe, Kabanga, Kapwili na Itunge.
Kuweni makini sana, ukiandika pumba ili kumfurahisha anayekulipa wananchi watakupuuza vibaya sana.