Fredrick asajile
Member
- Jan 21, 2015
- 42
- 9
iphone 6 plus Gb64
bei 370
betry health 98
no 0714018677
bei 370
betry health 98
no 0714018677
Kula 100kIpo camon 11 hapa
Wakuu inae inae hiyo krek upande wa kulia juu
Niliinununa mwenz wa 11 tarehe 2 bado n mpya na nikaidondosha ikapasuka ikiwa na wiki 1 na siku 3 tuu
Sasa nataka kuiuza
Nipo ArushaView attachment 1303996View attachment 1303997View attachment 1303998View attachment 1303999
Sent using Jamii Forums mobile app
nahitaji mkuu
Unajua Tena wa tz wanapenda vitu vya bwerereSimu tu unashangaa,je,wanaonunua magari kutoka watu utashangaa au kunya kabisa?Toa ushauri,vitu vingi tu vinanunuliwa kutoka kwa watu sio simu pekee!?
Bure kabisa wewe.
Ndo thread ishapigwa stiki tayari kila mgeni anaona....tunafanyeje sasarekebisha usemi kuna wauza simu humu wana maduka yao kama Godfrey Electronics sasa wewe unapotoa onyo sielewi
Hapa kila mtu kakomaa akili akiona simu akaipenda humu anawasiliana muuzaji anaiona face yake akiridhika ndo analipa
usitaku ku implant spirit mbaya kwa watu
pia hii ni sehemu ya biashara sana so ktk soko au market place mambo kama hayo hayakosi ni wewe tu kuangalia wapi kuna ukweli na uhakika
Hope nimeeleweka na sitaki tangazo hili likutwe na wageni sababu litachafua jukwaa kwa mambo ambayo yanaitaji umakini wa mnunuaji
Uwezi enda duka la vifaa used ukakurupuka kununua kitu
pia kama ujui hili soma sticky hapo juu kaweka robot inayotutahadharisha na haya yote
Lidumu jukwaa la matangazo
huawei p9 plus 64gb 4gb ram kioo cha camera za nyuma kina mpasuko sio mbaya.270000
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kunitafutia blackberry passport used lakn OG sio refurbishedSio wote. Mfano mm nauza simu used from India na nyingi ni matoleo mapya tu. Kuuziwa simu mbov kunatokana na kutokuitambu simu ni yalin. Mfano mtu unakuta miaka hi unatafuta s7 au s6 simu za 2015 unategemea ukute sio kimeo????
Umeshaonya onyeka mambo yakufunuana ndio nini?Embu toa habari ki Great thinker! Ni member gani na ilikuwaje? Utatusaidia na wengine.