Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

ufahari wa mapenzi sio idadi nyingi ya mabao wala sio kuchukua muda mwingi sana kabla ya kupiga bao, ufahari wa mapenzi ni kumridhisha mpenzi wako. hapo itategemea yeye anaridhika kwa kufanyiwa nini ktk mapenzi kwani kila mtu ana namna yake na kipimo chake.

asanteeee
 
Ph-25 hakuna sayari salama siyokuwa na changamoto, duniani kila binadamu ana kipimo chake cha kuridhika kama ilivyo kipimo cha uzuri kuwapo machoni mwa kila mtu. hapa naamanisha kama mpenzi wako anapenda pepsi usitarajie ataifurahia cocacola yako, ili umpate wa kukufurahia mpate anayependa cocacola hapo mtafurahia na wote kudare for more. ukiona wanalalamika ujue wamelazimisha kinywaji wasichokipenda labda kwa njaa zao au tamaa zao.

nimekuelewa vizuri mkuu
 
Last edited by a moderator:
wanaume sidhani kama tu wazuri sana ktk TAARAB.. waruhusu tu na wadada wachangie...
 
punguzeni viepe madogo,watoto wa bush ndio maana tuna wagongea madem zenu coz tunatumia vitu natural tu kama vile asali,mihogo,karanga n.k kuliko nyie wa mjini mliozoea kula mibaga tu iliyokaa kwenye friji miezi kadhaa,sasa unategemea utaweza vipi kumpeleka mchakamchaka chinja manzi yako hadi aombe pooo.

mkuu unahisi kua hayo ulio andika haya dependo na upendo wa dhati toka kwa mwenzio.? Unaweza akafanya yote hayo kumbe mwenzia anawaza mpunga tu kama una guluku zombi .?
 
wanaume sidhani kama tu wazuri sana ktk TAARAB.. waruhusu tu na wadada wachangie...

teh teh mkuu tukiwa ruhusu hawa patachafuka humu,siunawajua hawa hawataki kusemwa.?
 
Hongera bi amu!Wewe ndo mwanamke wa kwanza kuchangia ingawa ninaamini sio wa kwanza kuchungulia!Wapo wengi tu ila wanaogopa t
usiwasute!Uli
yoyaona na kuyasikia yaache hukuhuku bibie!
hujamuona Kongosho apo juu?kweli tena usijali sisemi mie natega sikio na kuyaaæha hapa hapa ila mjitahidi mpate tiba wababa wamewatoa KO.Kuanzia kitandani,mshiko,caring yaani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wapo wenye upungufu wa nguvu za kiume ila amini usiamini vijana wengi wanaangaika kutafuta tiba hospitali na kwa ma herbalists lakini kuna issue kubwa ya kutambua mahusiano ya fikra zako kichwani na performance,unaweza kujiona mchovu kwenye match ila kumbe ukitumia au kudhibiti vizuri mawazo fikra na hisia zako unaweza perform vizuri sana
 
sijambo mbaba nawachungulia madogo wanavyopeana darasa kila siku jando humu ndani afu hawafuzu

we unatafuta nini huku,?embu nenda ka chambe kwanza ukalale ebooo
 
Mkuu wapo wenye upungufu wa nguvu za kiume ila amini usiamini vijana wengi wanaangaika kutafuta tiba hospitali na kwa ma herbalists lakini kuna issue kubwa ya kutambua mahusiano ya fikra zako kichwani na performance,unaweza kujiona mchovu kwenye match ila kumbe ukitumia au kudhibiti vizuri mawazo fikra na hisia zako unaweza perform vizuri sana

embu funguka vizuri mkuu,unakitu kichwani ambacho ni adimu kinaweza wasaidia wengi bna.
 
Waungwa poleni kwa kazi na miangaiko ya kutwa nzima hop mungu anawajalia jema kila kukicha...

Back kwa topic...

Wanaumeee jamani hali ni mbaya sana,sijui tumekosea wapi ktk suala zima la mahusiano kwakweli.?

Kila kukicha tunaandamwa na wakina {hawa} kua hatujui kutimiza majukumu yetu kwao,pumzi ndogo eti wao route ndefu, jamani hivi ni kweli haya wayasemayo.? Au ni tamaa zao tu za kutaka mambo makubwa kabla ya wakati.?
Na kuichukilia ngono ndio wazo lao kuu ktk mapenzi alafu mambo mengne ya maendeleo wameyapa kisogo.?

Je Nikweli kama wasemavyo tunakumbwa sana na matatizo ya nguvu za kiume au ni uchovu wa shughuli zetu ngumu za kila siku katika kuwatunza wao ndio zina tufanya tuwe tunaitaji kupumzisha mwili,alafu wao wanadai chezoo tu matokeo ndio wana paka mbovu.?

Embu tufunguke jamani tunakosea wapi sisi wanaume.?

wao ndio tatizo shida zote wao ndio chanzo na raha zote pia wao ndio chanzo

kuhusu hizo lawama ni kama vile ufree mason kila mtu anaongea lake hakuna anaejua ukweli kamili ingawa kuna ushuhuda mchache kwa watu wachache hivyo ni vigumu kuconclude unakuta mtu katembea na kamtu kamoja kachovu, kalevi, kana stress zake kibao, hakana chanzo cha mapato muda wote kanawaza katakula kuvaa na kulala wapi unategemea kuna kuridhishwa hapo? wangekuwa wametuona huko kwa waganga daily tupo kutafuta miti shamba ndio waseme hivyo na kingine kuongezeka kwa mabango ya waganga wanaodai wanatibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume si kusema kuwa hilo tatizo ni kubwa kiasi hicho hao nao ni wapambanaji tu... kumfikisha mwanamke ni kazi inabidi wote kujipanga we unanuka kipochi, kwapa mdomo, umejipulizia mipafyumu gani sijui, unataka nikupeleke lodge au hotel nzuri kwenda kudoo unategemea nini hapo? jambo la pili kila kitu unajifanya unajua kila kakidume kakibuni kitu unakaclush unategemea nini hapo? mwendeni kwa hao wazee wenu na sie tutaenda kwa dogo dogo center unakatumia toka kanamiaka kumi na mbili mpk kaje kujua kuna kuridhishwa kwa kununuliwa vogue na shopping tayari umekapiga chin kaende kwa vibabu vyenu vila viagra..
 
nimekuja kuwasaidia afu dogo inaelekea h
ii ishu inakusumbua sana kila siku sredi poyeeeee

utusaidie kwani tumekuomba msaada.? Tangu lini mtu anaetoa msaada anajipendekeza.?

Back kwa swali lako,najaribu kusaidia vijana wenzangu wanao sumbuka na nyie viumbe wenye ubongo wanjiwa, mana mnawapa tabu sana...me niko poa amu poyeeee
 
Last edited by a moderator:
ngoja nkuache ufundishwe matumizi mazuri ya kibamia chako

teh teh teh mkuu nimekuelewa ila huku chini naona unaitafuta segerea,mana uo ni ubakaji bna.? Under age.?duuu
 
ah... mimi yakwangu natekeleza ipasavyo... sasa jiangalie kwanini unalaumiwa...
 
mkuu unahisi kua hayo ulio andika haya dependo na upendo wa dhati toka kwa mwenzio.? Unaweza akafanya yote hayo kumbe mwenzia anawaza mpunga tu kama una guluku zombi .?

hata kama una mihela yako kama kazi kuu huiwezi,shamba boy wako ukienda kwa job atakugongea tu na wewe utabaki na mihela yako wenzako wanakula mzigo unaouhudumia kwa hali na mali
 
Back
Top Bottom