Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

asikuambie mtu la kuambiwa huwaga kuna chumvi,sukari,abdalasini,giligilani,hiriki,karafuu,nanaa bora tuchungulie wenyewe

Mmmh utakua mwenyeji waja leo waondoka leo wewe..lakini bado naona unaendelea kuvunja agano kwa kuwaingilia vijana wakiwa jandoni, inawezekana km umeolewa ww ndio mwenye sauti ndani kwako kitu ambacho kitaivunja ndoa yako usipopunguza mdomo kah..?
 
Wanaume wengi WA darisalama hawajui mambo kazi ubrazameni nakujidai wanajua sn kwanza wengi vidudu vyao haVisimami vzr mpaka uvinyonye sn alaf vibamia uwiiii, kuleni vyakula natural jamani acheni chips
 
haya nawaacha waendelee na jando maana hili ni janga la taifa
 
ufahari wa mapenzi sio idadi nyingi ya mabao wala sio kuchukua muda mwingi sana kabla ya kupiga bao, ufahari wa mapenzi ni kumridhisha mpenzi wako. hapo itategemea yeye anaridhika kwa kufanyiwa nini ktk mapenzi kwani kila mtu ana namna yake na kipimo chake.
Don't tell me,ukiwa mchovu unaweza piga goli 5?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
haya nawaacha waendelee na jando maana hili ni janga la taifa

Nyinyi ndio mmechangia kutuharibia vijana wetu kwa kuwasifia wakiimba sijui Ubongo wa fuleva, wakivaa milegezo aka kata k na herini masikioni kwa kuwaita eti ma HB, sasa mmeona wamewaiga kula viepe na baga alafu mnawacheka wakishindwa kugegeda papuchi zenu vizuri..
 
Nimefurahi kuona mnatafuta solution ya matatizo yenu...
nb: kwnye hii thread nimekuja kumuwakilisha mwanaume wangu
 
Don't tell me,ukiwa mchovu unaweza piga goli 5?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hapo pia itategemea na mhusika, ikiwa mhusika akiwa fiti huwa anapiga goli 8 na zaidi basi anaweza kupiga goli 5 akiwa mchovu. lakini hoja yangu ni kuwa idadi ya magoli sio kipimo cha kumridhisha mtu. kuna baadhi ya wanawake kwao goli mbili na utundu wa mapenzi vinatosha kabisa kuwaridhisha na zaidi ya hapo kwao huwa kero.
 
Nyinyi ndio mmechangia kutuharibia vijana wetu kwa kuwasifia wakiimba sijui Ubongo wa fuleva, wakivaa milegezo aka kata k na herini masikioni kwa kuwaita eti ma HB, sasa mmeona wamewaiga kula viepe na baga alafu mnawacheka wakishindwa kugegeda papuchi zenu vizuri..

Haahahaha kweli mkuu sisi wakongwe hawatutaki tena wanataka Serengeti boy wakati walishawaharibu
 
Nimefurahi kuona mnatafuta solution ya matatizo yenu...
nb: kwnye hii thread nimekuja kumuwakilisha mwanaume wangu

hata kama bna,kwani huku soma torati hapo juu weye.?
 
Hapo pia itategemea na mhusika, ikiwa mhusika akiwa fiti huwa anapiga goli 8 na zaidi basi anaweza kupiga goli 5 akiwa mchovu. lakini hoja yangu ni kuwa idadi ya magoli sio kipimo cha kumridhisha mtu. kuna baadhi ya wanawake kwao goli mbili na utundu wa mapenzi vinatosha kabisa kuwaridhisha na zaidi ya hapo kwao huwa kero.

mkuu kuna viumbe wana tisha bna,yani anamnyegesha demu ilembaya,jaa anapiga goli moja tu demu anasema mwenyewe nimeridhika tena kwa mahaba,haina haja ya migori mingi mingi,chamsingi maandalizi mkuu.
 
Wanaume wengi WA darisalama hawajui mambo kazi ubrazameni nakujidai wanajua sn kwanza wengi vidudu vyao haVisimami vzr mpaka uvinyonye sn alaf vibamia uwiiii, kuleni vyakula natural jamani acheni chips

embu tutake radhi wewe mwanamke.?mbona nyie hata kunyonya dudu hamjui mnachububua chubua tut...alafu humu umekuja kumu wakilisha mwanaume wako au.?
 
Mkuu ila naona tatizo la kujichua nalo limekua kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kitu kinachosababisha kupungua kwa nguvu....

Kuna kautafiti fulani nilikasoma mahala(jina limenitoka) kana sema kati ya vijana 10 wanaooa 6 wameshajichua katika maisha yao, na watatu huendelea kujichua wakiwa katika ndoa...
Unafikiri hili laweza kuwa si chanzo??

mkuu nakubaliana na hilo unenalo,nakumbuka nipokua boiz sec kule kusini,hili tatizo lilikua kubwa sana,yani ni punyeto kwenda front+maharage yalio na mafuta ya taa yani unakuta asubui ngoma haisimami kabisaa bna.
 
eti Ph-25 kwa nini unalaumiwa shughuli huwezi?

nashukuru mungu sijawai lala mikiwa ktk hilo,mana najua kuvunjika kwa ndoa nyingi moja ya sababu ni hiyo,najielewa nifanye nini,najua nitumie mbinu gani ili nimridhishe demu wangu...ukitaka mengi kwa msahada wa shemu ni pm nitakuelekeza amwambie awe anakufanyia nin ili uwe una tosheka.
 
Last edited by a moderator:
Mjitahidi mpate jibu ili mrekebishe hili swala inaniuma maana nilimuacha mpezi wangu nikiwa bado nampenda yani akisimamisha inalegea mwe! Hakuna raha ya mapenzi tena. Ah! Samahani kumbe me tu.

tatizo kubwa naisi ni malezi ya shule za jinsia moja,kule bna ni shda sana hakakamchezo ka punyeto kanafanywa sana kule+maharage yalio changanywa mafuta ya taa,mashne asubui haisimami kabisa,mbaya zaidi uyo mwanaume akiwa hajiamini lazma ngoma igomeee
 
Madem wengine magogo tu kitandani sio hamsha hamsha wala nn na bdo wanataka nao bao tano ahaaa aahhaa!!!!!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mkuu kwani unaisi kua wingi wa mabao ndio mwanamke anatosheka.? Mbona wapo ambao wanawatosheleza wanawake bila hata ya kuchomeka dudu.?
 
ile ni kazi kama kazi nyingine kikubwa hasa ubunifu,ushirikiano na kuzingatia mazoezi ndiko hitajiko kuu la kusaidia hili vilevile...matumizi ya vilevi,sigara navyo si vizuri kwa afya..

nakubaliana nawe mkuu,hayo mavitu ni hatari sana bna.
 
hao wanawake waliotoa hayo maoni maoni sio wengi ukilinganisha na idadi yao, nafikiri watakuwa ni wanawake wa kitanga, wao wanajua mapenzi tu!!! ukirudi nyumbani badala akwambie pole na kazi yeye anakuuliza leo utanipiga mabusu mangapi??
Nawashauri wakopi swaga za wanawake wa kichaga.

mkuu hayo ya nyumba ndogo ni hatari kinouma,watakipoteza kabisa iko kimic bna,washirikina sana hao,wacha izo mambo mkuu.
 
Back
Top Bottom