Katika hili, wanaume tutasutwa sana, nyie wadada kwanini?

Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,025
5,955
''Yaani unakaa na mtoto wa watu miaka 5 ya uchumba, ushamfunua- funua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani, unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa, mtoto wa watu amekunja nne ametulia anajua ndoa inafuata soon halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine.

Akikuuliza sababu ya kumuacha yeye mataa unasema siwezi kuoa Mwanamke hajui kukatika kitandani nataka kuoa fundi wa kumiliki kitanda, Ulimfundisha?? Kwani unaoa mtu wa kujenga Familia au unaoa mke wa kwenda kufungua bendi ya kukata viuno?? Maana kama nia yako ni kupata mke anayekatika basi ungeenda kuoa Wanenguaji kwenye bendi ya Akudo Impact.

Mnaumiza watoto wa watu kibwegebwege na sababu za kikuku-kuku, Kwani utakula kiuno all ur life? Au utajenga familia huku mnakatika?? Grow up, ur motives are wrong na ndoa zenu zitakuwa wrong milele. Nimemaliza Mimi!! tupia wazo lako kuhusu hili''

Jamaa kanifowardia hii kitu, nimekiweka kama kilivyo. Kuna ukweli lakini.....

Who Cares? anasema:-

ahahaaaaa...vice versa rule applies here....u just heard a story from one source...here is the other side of coin.

Hata sie wanaume huwa tunachezewa sana tuuu..tena unakuta mdada wa watu keshamuharibu kijana wa watu kampa tigo na mengineyo kesha chezea dudu yangu utazani mic za twanga kila saa haloo halooo tunajaribu..haloo mic test one two haloo haloo...kakuacha umevurugwa kiasi jogoo hawiki mpaka uwe naye...

Unakaa unakuja kuskia ohh..mie naona sikuelewi unanichezea tuu natafuta mtu niolewe..mara wiki ijayo unaskia anaolewa..mwenyewe aibu tupu hata uso wako hujui uuweke wapi.....
Jamani munatuumiza hasa munapotuacha na kuolewa na vibabu hata sie huwa tunaumia ila ndio hivyo...mujuwe hilooo

MwanajamiiOne Naye anasema:-
Ifike mahali na wanawake tuamke. Hivi unapokubali mtu ambaye hajakuoa akugaragaze na kukupindua kwa muda wote huo bila kueleweka unategemea nini. Mimi huwa najiuliza aafter miaka yote hiyo ya kum'pakulia' kila kitu unategemea kipi kipya kitakachomvutia akuweke ndani? Maana anakuwa tayari ameshakujua kama kiganja chake cha mkono anajua kuwa akiichomekea kushoto wewe utakatika mkatiko gani, anaelewa akikugeuza hivi utageukia hivi, anakujua upishi wako wote maana trukiwaga kwenye kipindi hiki ndo huwa twajifanya mafundi kweli kutwa kucha na vitabu vya recipes. Kipi kipya kitakachomvutia? Tukumbuke kuwa kukaa muda kwenye uchumba hakumaanishi kujiachia kama choo cha sokoni, kila akijisikia ye binti weye unamwachia. Tuwe expensive jamani hata kama ni mchumba wako kama yuko serious atakuheshimu na kuyaheshimu maamuzi yako. Tusiwape nafasi ya kutudharau kwa makosa ya kujirahisi kwao.

tian
anasema:-
Mimi I will never love a man more than myself that's for sure. Nyie kaka zetu hamna maana kabisa, hasa miaka ya hivi karibuni, mnawatesa sana wanawake. Eti mtu unajua fika kuwa una mtu wako ndo umetegemea kuoana naye lakini kwa sababu unazozijua mwenyewe unaanzisha mahusiano na mwanamke mwingine ambaye unamwaminisha kuwa ndiye mkeo wa baadaye

Siku ya siku ikifika unasikia jamaa yako kapeleka mahari na anaoana na mtu mwingine,haya mambo yanaumiza sanaa. Naamini
ipo siku wanawake watajitambua katika hili na swala la kuwa wao ni dhaifu halitakuwepo tena

Asante kwa elimu tunayoipata kidogo tumefungua macho ila bado sana.
NB: WANAWAKE TUJITAHIDI TUSIWE NA HURUMA KUPITA KIASI.

The master
anaturudisha kwenye msingi apa:-
Kuna tatizo kubwa ktk mfumo wa maisha kwa vijana wa sasa na ndo maana kijana yeyote kuwa na demu ndo fassion, na kwa wanawake kuwa na mwanaume mwenye kamshiko ndo dili. Ili tujue suluhisho ni lazima kwanza tujue source ya mambo haya kutokea. Zamani ndoa zilikuwa na hatua zake kwa baadhi ya makabila binti akiolewa lazima usiku wa kwanza asubuhi yake shuka zifuliwe na shangazi. Lengo ilikuwa ni kuangalia je geti ndo limefunguliwa au lilishafunguliwa kabla. Sasa utaratibu huo umefutika kabisa kwa sababu siku hizi wanawake ni used na wanaume pia used. Sasa vyote vinakutana ni used kwa hiyo kila mmoja anajiuliza je hii used na ile ya kwanza ipi inanifaa? Ndipo matatizo kama mabwawa na vibamia yanavyokuja hapo. Lakini kama wote wangekuwa ni new model wangeweza kugundua matumizi ya zana zao na ufundi wangejifunzia hapo na mambo yangekwenda poa. Kusingekuwepo na ulinganishaji wa zana kuwa mbona ile iko hivi na hii iko hivi, mbona ile ilikuwa inafika huku hii haifiki ndo maana michepuko mingi na ndoa zinavunjika.

scorpion girl
naye aseeemaaa!!!!!
quote_icon.png
By scorpion girl
duuuh jamani iam speech less maana wote mnalalamika mnachezewa ila ni vyema wote mkatulizana na hizi kabang wakaka zitawatokea pua maana unapata wife material.

Dume unamwaga machozi ili akupe kabang jamani atakuzaliaje sasa ukimfumua na huko hebu tulizeni akili zenu mnajichua na mikono wee hamtosheki mdomo holaa papuchi hola kabang pia ikitumika sana inakua kama papuchi na sio wote wanatoa kabang mwisho wake mtataka pua na masikio sijui itakuaje.

Jamani hebu tuji control na sisi tukitaka ziwe ndefu kama mua na nene kama bonge soda itakuaje maana wengine mnazo ndogo kama kidole gumba ila tunamifariji babe haphapo kumbe fix tuu alafu unajiona kidumeee kazi unaijua unaamua kutangaza ndoa na mtoto wa jirani mmmmmh. Jifichieni aibu basi jamani''

Jodoki Kalimilo
anena hivi:-
Kupenda ni mara moja kama ukikaa na mtu muda mrefu tu unaweza ukajua ABC zake na ndani ya mwaka mkatangaza nia, kuna watu wanagalagazana kwa miaka mitano wanasingizia wanachunguzana ukiangalia muda wanaokaa kujadiliana issues ni mdogo matokeo kwani kila wanapokutana ni kugegedana then maongezi kidogo kila mtu anasepa. Mtu anaweza akampenda mtu na kama akipata wasaa mrefu at least mara moja ama mbili kwa wiki wanakaa sehemu huku wanapunga upepo huku wanabadilishana mawazo ni rahisi kumjua ni aina ya mtu gani maana kutakuwa na interaction za simu hata mara moja moja na kumwona the way anavyoongea na mambo mengine maana ukimwangalia usoni tu mtu unaweza ukamgundua "subiri nitakutafuta baadae kila unapokuwa zikiwa nyingi wakati mwingine inabidi ujiulize maana kwanini anaogopa kuongea mbele yako japo utangulizi alafu mengine akasema baadae tutaongea kwa kuwa si vizuri unapotoka na mtu akawa busy na simu utasema operator"
Nyasamaki huyu hapa!!!!
Binafsi kabla sijaolewa nilikuwa nadate na mtu miezi miwili tu wa tatu namuuliza unahisi naweza kua mkeo au bado unachagua , asipotoa jibu la kueleweka najichomoa nakuwa pekeyangu , hivyo hivyo mpaka nilivyompata wa kupiga kiwi kiatu chake na kwenda kwa Baba yangu kutangaza nia , wenzetu wash*****zi sana wanatumia udhaifu wetu kukidhi mahitaji yao ya muda mfupi ! Wabinafsi sana wewe unajiweka miguu na mikono ukijua siku moja mtahalalisha mwenzio walaaaa anakuona kisima cha kumwaga kamasi zake kutwa ! Wadogo zangu wa kike badilikeni acheni kuabudu hawa viumbe ohooo akupe msimamo mapemaaaa ikiwezekana atangulize na posa kwa wazazi , hii biashara ya kudate mtu miaka 2, 3 7 No No Nope .......
 
Last edited by a moderator:
Nikajua ni wewe unatoa makavu kwa wenzio,kidogo nikupe like,basi pasisha kwa mwenyewe like yangu.
 
ahahaaaaa...vice versa rule applies here....u just heard a story from one source...here is the other side of coin.

Hata sie wanaume huwa tunachezewa sana tuuu..tena unakuta mdada wa watu keshamuharibu kijana wa watu kampa tigo na mengineyo kesha chezea dudu yangu utazani mic za twanga kila saa haloo halooo tunajaribu..haloo mic test one two haloo haloo...kakuacha umevurugwa kiasi jogoo hawiki mpaka uwe naye...

Unakaa unakuja kuskia ohh..mie naona sikuelewi unanichezea tuu natafuta mtu niolewe..mara wiki ijayo unaskia anaolewa..mwenyewe aibu tupu hata uso wako hujui uuweke wapi.....

Jamani munatuumiza hasa munapotuacha na kuolewa na vibabu hata sie huwa tunaumia ila ndio hivyo...mujuwe hilooo
 
ahahaaaaa...vice versa rule applies here....u just heard a story from one source...here is the other side of coin.

Hata sie wanaume huwa tunachezewa sana tuuu..tena unakuta mdada wa watu keshamuharibu kijana wa watu kampa tigo na mengineyo kesha chezea dudu yangu utazani mic za twanga kila saa haloo halooo tunajaribu..haloo mic test one two haloo haloo...kakuacha umevurugwa kiasi jogoo hawiki mpaka uwe naye...

Unakaa unakuja kuskia ohh..mie naona sikuelewi unanichezea tuu natafuta mtu niolewe..mara wiki ijayo unaskia anaolewa..mwenyewe aibu tupu hata uso wako hujui uuweke wapi.....

Jamani munatuumiza hasa munapotuacha na kuolewa na vibabu hata sie huwa tunaumia ila ndio hivyo...mujuwe hilooo

Mkuu you made my day daaaah....hahahahaha...kwani kunyonywa mic na kupewa kabaang ni kuchezewa kwa mwanaume?
 
Mkuu umeniacha hoi sana, nimejichekea vibaya mno.
ahahaaaaa...vice versa rule applies here....u just heard a story from one source...here is the other side of coin.

Hata sie wanaume huwa tunachezewa sana tuuu..tena unakuta mdada wa watu keshamuharibu kijana wa watu kampa tigo na mengineyo kesha chezea dudu yangu utazani mic za twanga kila saa haloo halooo tunajaribu..haloo mic test one two haloo haloo...kakuacha umevurugwa kiasi jogoo hawiki mpaka uwe naye...

Unakaa unakuja kuskia ohh..mie naona sikuelewi unanichezea tuu natafuta mtu niolewe..mara wiki ijayo unaskia anaolewa..mwenyewe aibu tupu hata uso wako hujui uuweke wapi.....

Jamani munatuumiza hasa munapotuacha na kuolewa na vibabu hata sie huwa tunaumia ila ndio hivyo...mujuwe hilooo
 
duuuh jamani iam speech less maana wote mnalalamika mnachezewa ila ni vyema wote mkatulizana na hizi kabang wakaka zitawatokea pua maana unapata wife material.

Dume unamwaga machozi ili akupe kabang jamani atakuzaliaje sasa ukimfumua na huko hebu tulizeni akili zenu mnajichua na mikono wee hamtosheki mdomo holaa papuchi hola kabang pia ikitumika sana inakua kama papuchi na sio wote wanatoa kabang mwisho wake mtataka pua na masikio sijui itakuaje.

Jamani hebu tuji control na sisi tukitaka ziwe ndefu kama mua na nene kama bonge soda itakuaje maana wengine mnazo ndogo kama kidole gumba ila tunamifariji babe haphapo kumbe fix tuu alafu unajiona kidumeee kazi unaijua unaamua kutangaza ndoa na mtoto wa jirani mmmmmh. Jifichieni aibu basi jamani
 
ahahaaaaa...vice versa rule applies here....u just heard a story from one source...here is the other side of coin.

Hata sie wanaume huwa tunachezewa sana tuuu..tena unakuta mdada wa watu keshamuharibu kijana wa watu kampa tigo na mengineyo kesha chezea dudu yangu utazani mic za twanga kila saa haloo halooo tunajaribu..haloo mic test one two haloo haloo...kakuacha umevurugwa kiasi jogoo hawiki mpaka uwe naye...

Unakaa unakuja kuskia ohh..mie naona sikuelewi unanichezea tuu natafuta mtu niolewe..mara wiki ijayo unaskia anaolewa..mwenyewe aibu tupu hata uso wako hujui uuweke wapi.....

Jamani munatuumiza hasa munapotuacha na kuolewa na vibabu hata sie huwa tunaumia ila ndio hivyo...mujuwe hilooo

Lol umeua mkuu nimecheka sana.. haloo haloo Mic test one two haloo hahaha
 
Back
Top Bottom