Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Yaani kutoa draw mnalialia hivi? ngojeni muanze kufungwa ndo mtajua kama mmesajiri wachezaji au porno stars.
hawa ni wapuuzi na wakikutana na mnyama simba watakula zaidi ya mbili na ndipo watashika adabu kwa simba ya sasa nawapa wiki tatu timu zitachezea kichapo mpaka wakome..
waliopiga mawe na waliopigwa mawe ni wapi wala unga sasa maana mateja ndio wenye tabia za vurugu.
YANGA Vs (mnyama + coastal + azam + TFF) = VPL 2013!!
Ball to hand au hand to ball mwenye kutoa definition na kufanya final decision ni refa wengine tutabaki kutoa maoni tu, ingekuwa imetolewa upande wa pili sijui ungeiona kama unavyoiona sasa!!Yanga hatuogopi kufungwa, tumefungwa sana na tumeshinda sana. Kama ni makombe hakunaga kama Yanga. Cha msingi tufungwe kihalali hata kama ni 5-0 siyo mwamuzi anakuwa na unazi kama huyo mshenzi! Ile penati ilikuwa ni 'ball to hand' na siyo 'hand to ball', hata Ulaya tunaona waamuzi wanavyokuwa wagumu kutoa penati.
YANGA Vs (mnyama + coastal + azam + TFF) = VPL 2013!!
Mateja ni wale waliokua wanacheza komfuu uwanjani wakina nyoso na boban
Umemaliza yote mkuu.
Mkuu ndomyana hata wafanya fitina vip ubingwa jangwani ni lazima, hawa wengine sijui azam,simba &coastal wanajisumbua.
acha ushabiki wa kijinga msimu huu ligi ni ngumu sana utambue kila timu zimepewa mil 100 na azam tv hivyo ule ujinga mliokuwa mnaufanya msimu huu itakuwa siyo rahisi voda+azamtv+kiingilio+wadhamini+takukuru imeondoa njaa za kijinga..
YANGA Vs (mnyama + coastal + azam + TFF) = VPL 2013!!
Ni kweli mkuu umenena vema Yanga wanatakiwa wawe makini na hujuma zote zinazotolewa na marefa. Kwa mfano jana yanga walihujumiwa na refa ambae aliwaacha costal union wacheze rafu za makusudi na hivyo kuharibu ladha ya mchezo
acha ushabiki wa kijinga msimu huu ligi ni ngumu sana utambue kila timu zimepewa mil 100 na azam tv hivyo ule ujinga mliokuwa mnaufanya msimu huu itakuwa siyo rahisi voda+azamtv+kiingilio+wadhamini+takukuru imeondoa njaa za kijinga..
hapa je hujuma ilikuwepo pia??? hahahahahaaa
hivi si ndio huyu jamaa aliyeunawa siku ya taifa starz na uganda kule uganda mbona hamtumii akili..