Onyo kwa wanaume mnaotaka kuingia kwenye ndoa

Upo 1999
 
Hilo swali la mwisho linanitesa sana katika ndoa yangu

Acha tuishi tu
Hizi familia zetu za Kiafrika uki asili mtoto yatima umlee, ndugu hawatamuona kama ni ndugu wa damu na ukifa wanaweza kumnyang’anya mali ukizomuachia.
 
Usitishe watu..wewe kama ndoa imekushinda endeleza unalaya wako..acha watu waishi maisha yao..mbona tunapangiana sana.?

#MaendeleoHayanaChama
 
An
Anachelewa toka kazin kwasabu bora akiwa mazingira hayo kuliko uko nyumban, kifupi home panawaka 🔥🔥😆😆😆
 
Kabla ya kuoa wanaume jiulizeni kwanza
1. Unamuoa nani?
2. Kwanini una oa

3. msipobarikiwa mtoto ndoa yenu itadumu?
Maswali muhimu sana na fikirishi hayo mkuu_lakini wengi huwa hatutaki kuangalia matokeo badala yake tunakimbizana na mchakato wenyewe wa KUOA
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…