Ni kweli Pape, kwa sababu mambo ya kutengeneza movie ni something professional kwa kuwa imekusudiwa kwa public presentations na hivyo lengo ni kuwa convince wadau wote watakao pata nafasi ya kuiona wajue kwamba mtayarishaji alijiandaa hivyo kuwa tangazo la biashara. Na mazoezi ya nguvu lazima yalifanyika kabla ya final release, sasa mtu upo na mtu wako mmejifungia hiyo mitindo ya hatari ya nini? wewe timiza mradi wako yatosha, utajavunjika kiuno bure sijui utasema hiyo ajali ilitokea wapi tahadhari kuiga kwingine kunaweza leta hasara, tujihadhari.
Sio kila kinachoonekana kinaigika, waswahili walisema kuiga kunya kwa tembo utapasuka msamba!!
Vipo vingi sana mkuu, na hasa hiki kinachozungumziwa kwenye mada hii. Take your own example mambo ya jigjig ulikwenda tuition wapi? Naamini ulijikuta tu uko busy na mambo yanakwenda!! Ndipo hapa wakoloni (wazungu) wanasema "nature has no medicine" or "there is no treatment for nature"Hivi kuna kitu ambacho binadamu wa kawaida anafanya bila kuiga au kudesa?
Sio kila onyo kwenye jamii linamuhusu kila mtu. Kuna watu wanakatazwa kulala nje kwa mfano na kwamba hiyo ni tabia mbaya! Lakini ni dhahiri kwamba onyo hili haliwezi kumuhusu mlinzi sababu unazo!Huu ni uvivu tuu ,huna jipya, ina wezekana hu enjoy sex sasa unataka wengine wawe kama wewe!, mazoezi tutapiga , sarakazi tutapiga na yoga tuta fanya tuu hata ujaze daftari kutuonya!
........Hili nalo neno maana kuna style nyingine kama vile mtu unafanya zoezi, kesho ukiamka mwili wote maumivu. Kuna zile nzuri si mbaya kuiga, lakini nyingine wala sio za kuiga.
...hakuna style ngumu FL , huenda mzee wa kazi anagusa kusikotakiwa mwishowe unajionea tabu tu!Pretty kwani na wewe shemeji anakufanyisha style ngumu jamani ...
Si ya wale watu wa dini mawakala wa ukoloni
Ha ha ha! Unamaanisha missionary mkuu?....... Hivyi wale jamaa ni natural au kuna dawa maana sometym wanapiga game kwa kasi ya ajabu n for long tym bila kurilease sparms?Si ya wale watu wa dini mawakala wa ukoloni
Du haya ..si ndo mazoezi yenyewe ya viungo
mala sijui wheelbarrow style loh hatari kweli kweli
Sio kila onyo kwenye jamii linamuhusu kila mtu. Kuna watu wanakatazwa kulala nje kwa mfano na kwamba hiyo ni tabia mbaya! Lakini ni dhahiri kwamba onyo hili haliwezi kumuhusu mlinzi sababu unazo!
Tumesema, kwa ninyi ambao ni professionals fanyeni mtakavyo! Tahadhari imewekwa kwa wazee wenzetu ambao kwa mujibu wa umri na pengine maadili, style zitaishia kuwavunja migongo kama sio viuno.
Wengine hata tukienda mango garden au kwingineko wanapokuwepo wazee wa "pinda mugongo" tunaishia kushangilia tu. Sembuse sex style?
Mtoto wa kishua, kumbuka "who the cap fit let them wear it" Keep on and time will tell.
Vp Pretty, harus ilikuwaje?........Hili nalo neno maana kuna style nyingine kama vile mtu unafanya zoezi, kesho ukiamka mwili wote maumivu. Kuna zile nzuri si mbaya kuiga, lakini nyingine wala sio za kuiga.