Onyo kwa wanaopenda kuangalia na kuiga styles za picha za ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Onyo kwa wanaopenda kuangalia na kuiga styles za picha za ngono

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pape, Jan 7, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kuna wachache ambao hupenda kuangalia picha za ngono na kisha kutaka kuimitate kile walichokiona kwenye hizo movies, mara nyingi kile kinachofanywa kwenye hizo blue huwa ni ngumu kutekelezea kwa hali ya kawaida kutokana na ukweli kuwa mara nyingine staili zinazotumiaka huhitaji mtu kuwa mwanasarakasi ili kuwepo na ufanisi.

  Hali huwa mbaya zaidi pindi upande mmoja unapokuwa umeiona hiyo staili husika na kutaka kupractice hiyo staili huku upande wa pili ukiwa haujui lolote kuhusu hiyo staili. Hali hiyo husababisha upande wa pili kuconcetrate zaidi juu ya jinsi gani utaweza kumudu hiyo staili mpya kitendo ambacho humfanya ashindwe kufika tamati!

  Wadau wa JF nachotaka kuwaambia wanaoigiza picha za ngono ni professionals hivyo wanafanya kile wanachofanya kama kazi sasa jiulize una haja kweli ya kuiga kile unachokiona kwenye hiyo mikanda?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  MHHH.
  haya sasa...Idumu ancient style yetu, ambayo iko tangu time-immemorial!
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  style ipi hiyo...?
   
 4. m

  msabato masalia Senior Member

  #4
  Jan 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Si ya wale watu wa dini mawakala wa ukoloni:D
   
 5. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Pape, kwa sababu mambo ya kutengeneza movie ni something professional kwa kuwa imekusudiwa kwa public presentations na hivyo lengo ni kuwa convince wadau wote watakao pata nafasi ya kuiona wajue kwamba mtayarishaji alijiandaa hivyo kuwa tangazo la biashara.

  Na mazoezi ya nguvu lazima yalifanyika kabla ya final release, sasa mtu upo na mtu wako mmejifungia hiyo mitindo ya hatari ya nini? wewe timiza mradi wako yatosha, utajavunjika kiuno bure sijui utasema hiyo ajali ilitokea wapi tahadhari kuiga kwingine kunaweza leta hasara, tujihadhari.

  Sio kila kinachoonekana kinaigika, waswahili walisema kuiga kunya kwa tembo utapasuka msamba!!
   
 6. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Umesema sawa, tupo pamoja.


  Annina
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna kitu ambacho binadamu wa kawaida anafanya bila kuiga au kudesa?
   
 8. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Vipo vingi sana mkuu, na hasa hiki kinachozungumziwa kwenye mada hii. Take your own example mambo ya jigjig ulikwenda tuition wapi? Naamini ulijikuta tu uko busy na mambo yanakwenda!! Ndipo hapa wakoloni (wazungu) wanasema "nature has no medicine" or "there is no treatment for nature"
   
 9. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Huu ni uvivu tuu ,huna jipya, ina wezekana hu enjoy sex sasa unataka wengine wawe kama wewe!, mazoezi tutapiga , sarakazi tutapiga na yoga tuta fanya tuu hata ujaze daftari kutuonya!
   
 10. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sio kila onyo kwenye jamii linamuhusu kila mtu. Kuna watu wanakatazwa kulala nje kwa mfano na kwamba hiyo ni tabia mbaya! Lakini ni dhahiri kwamba onyo hili haliwezi kumuhusu mlinzi sababu unazo!

  Tumesema, kwa ninyi ambao ni professionals fanyeni mtakavyo! Tahadhari imewekwa kwa wazee wenzetu ambao kwa mujibu wa umri na pengine maadili, style zitaishia kuwavunja migongo kama sio viuno.

  Wengine hata tukienda mango garden au kwingineko wanapokuwepo wazee wa "pinda mugongo" tunaishia kushangilia tu. Sembuse sex style?

  Mtoto wa kishua, kumbuka "who the cap fit let them wear it" Keep on and time will tell.
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Du haya ..si ndo mazoezi yenyewe ya viungo
  mala sijui wheelbarrow style loh hatari kweli kweli
   
 12. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Hili nalo neno maana kuna style nyingine kama vile mtu unafanya zoezi, kesho ukiamka mwili wote maumivu. Kuna zile nzuri si mbaya kuiga, lakini nyingine wala sio za kuiga.
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Pretty kwani na wewe shemeji anakufanyisha style ngumu jamani ...
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...hakuna style ngumu FL , huenda mzee wa kazi anagusa kusikotakiwa mwishowe unajionea tabu tu!
   
 15. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160

  Hiyo si nyingine ni kifo cha mende. Siyo siri wengi huanza na hiyo then ndio wanabadilisha hahahahahhaaaaaaaa!
   
 16. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2010
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha ha! Unamaanisha missionary mkuu?....... Hivyi wale jamaa ni natural au kuna dawa maana sometym wanapiga game kwa kasi ya ajabu n for long tym bila kurilease sparms?
   
 17. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160

  FL,
  Umenikumbusha mbali, Rafiki yangu George ni Mkenya, amekuwa na girlfriend wake wa kizungu kila wakikutana, mwanamke huyo anataka wheelbarrow style then tuka-develop theory ya kizushi tukaiita' George's wheelbarrow theory'
   
 18. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  yaani nimekugongea 'senksi', pole sana kwa maumivu ya mgongo...
   
 19. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  sawa sawa...ukikua utaacha....
   
 20. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Vp Pretty, harus ilikuwaje?
   
Loading...