ONYO kwa wanaonunua simu humu

Kuna iPad na lenovo tablet zipo vizuri naweza kukupa option ya kulipa kwa instalment km nitajiridhisha. Napatikana 0753635805
 
Way Logistics ltd
About Us
Our Services
Contact Us +255717017776 or +255657579017
We are licensed by the Tanzania Customs Service providing Clearing and Forwarding services in Tanzania. We can assist in the clearing of shipping, with speed and efficiency
 
Ni kweli
Mwaka huu nilinunua simu humu JF mwanzoni mwa mwaka ilikuwa LG jamaa alinieleza kuwa ni brand ila kilichomnitokea ilikuwa fake yani clone NA KWA BAHATI MBAYA NILIKUWA MKOANI YEYE ALIKUWA DSM hivyo akatuma kama parcel
Ila sasa nimeamua mwezi wa 10 niienda kwa benson hapa arusha nikchukua HTC
kwa kweli sishauri ununue simu hapa JF
OVER.
 
hebu toa pumba zako huko,kama we hujakutana nayo kaa kimya!ila soma vizuri thread za jukwaa hili juzi kuna mtu amenusurika kupigwa laptop,we kaa hivyohvyo kama zombi mpk yakukute
kwa jinsi ulivyomjibu kwa kauli zako unaonesha dhahiri kabisa ulitapeliwa kwa ujinga wako.
 
Kuwasaidia wengine, mtaje. Sisi tutaangalia IDs zake zote na kuziunganisha.

Ikibidi, tupe # yake ya simu tutamwanika hadi majina halisi. Threads zake zote zitafutwa na ID itawekewa status ya TAPELI.

Thanks

Oh yes, kuna haja kuwadhibiti kwa njia hiyo.
 
4S HOW MUCH
 
Hahahaa huyo naye ndo anatuharibia biashara kwanza humu tuko kama ndugu unaanzaje kumfanyia member mwenzio hvyo???huyo atasababsha mpaka sisi tuuzao simu nzuri na halisi tusiaminike tena,halafu na wewe mkuu hzo bb curve zshakuwa old model sana kwa miaka hii kuipata mpya ni issue sana ujue
 
 
 
 
Mkuu usemayo ni ya kweli mimi nilinunua Samsung Galaxy Note 3 nikaitumia miezi 4 tu juzi inanionyesha kuwa NOT REGISTERED TO THE NETWORK,nimejaribu kuwa reset hakuna kit sasa hivi naitazama kama furniture tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…