Biashara ni katibya willing buyer ba willing seller...kama mmoja akighairi hakuna biadhara hapo.
Ni juu ya mnunuzi kujiridhisha na bidhaa anayotaka kununua kama hajaridhika hanunui akinunua amerishika na kama akikuta bidhaa ssio alivotegemea basi ndio risk zenyewe iyo otherwise angeenda kununua mpya dukani na warranty.
Uliona wapi BB ikauzwa laki moja halafu eti utegemee iwe kama mpya?
Kwa maoni yangu ni kwamba ukiamua kudeal na vitu used ukubali pia matokeo na uwr makini.
NA HAINA MAANA KUWA WAUZAJI WA HAPA ETI NI MATAPELI...nimeshawahi kununua iPhone umu na inadunda hadi leo.
nimesoma maelezo yako ktk comments zako zote,
ww utakuwa tapeli haiwezkn ukawa unatetea hv bana...aah!
Kuwasaidia wengine, mtaje. Sisi tutaangalia IDs zake zote na kuziunganisha.
Ikibidi, tupe # yake ya simu tutamwanika hadi majina halisi. Threads zake zote zitafutwa na ID itawekewa status ya TAPELI.
Thanks
Mi nimeona Gerezani Kariakoo BB mpya elfu 50, iPhad mpyaa laki 1 fasta fasta hiyo
critisize me when you reach my level,meanwhile admire me
Unlimited Internet @ 10,000 call 0753932250
Nawe hiyo biashara yako ina uhakika?
mkuu Invisible matusi na kumdharirisha mtu hadhari si Vs forum rules .. moderator wa hili jukwaa ni muda wake kufanya yake
nshavunjiwa heshima mm
Hoja ni nzuri sana na Tuwe makini na Wafanya biashara wa msimu. Mtu kanunua simu leo kaona inasumbua anataka auze. Sio sahihi na tutakuwa tunaharibu soko la wauzaji wengine Trust on Godfrey Electronics
Hii itatusaidia kupunguza wasio wafanya biashara. Kwa mfanya biashara wa Moja kwa Moja hawezi kuharibu soko lake kwa bidhaa moja.
critisize me when you reach my level,meanwhile admire me
Matapeli kivipi?
Kama umeamua kununua kitu kilichotumika, kwanini usiangalie risk unayoikabili? Na ukikutana na tapeli, haina maana kuwa kila mtu anayefanya biashara hiyo basi ni tapeli. Kwa mfano nikikuuzia simu used au mpya ambayo ni kimeo, lazima baadae utaanzisha thread itayoeleza kuwa umetapeliwa na kobello, na zingekuwa nyingi humu JF. Mimi ndiyo leo naona kwa mara ya kwanza ... mabbe mbili, sina uhakika.
Kwa hiyo usilazimishe kuwa hilo ni jambo linalotokea mara nyingi. Na mara nyingi kama unaleta simu au colognes .. etc, unaagizwa kwanza na ukipata unatuma, kuna watu wengi tu wanaulizia vitu mbalimbali, sijawahi kumuuzia mtu kitu humu ndani zaidi ya laptop na jamaa ananiulizia mpaka leo kama tunaweza kufanya biashara, other than that ...... usidhani kuna kufaidika sana, almost negligible.
Sasa si angempiga makofi basi!kinachotakiwa muuzaji inabidi ajue bidhaa anayoingiza sokoni na kuainisha kama ina tatizo hili na hili ili mnunuaji aridhike kununua,
sasa unaposema bidhaa haina tatizo lolote na imetumika wiki moja,mnunuzi akapendezwa kuja kuiona bidhaa anakuta ina matatizo lukuki ni utapeli tayari kwani unakuwa umepoteza muda na nguvu ya mtu!
Kama jamaa katoka sinza mpaka ubungo alafu anakuta hali hiyo kama mimi nakupiga makofi na polisi nakupeleka,
je angefanikiwa kuuza alafu tatizo linajitokeza nyumbani?si ndo kashaingia hasara!
Ole wenu munaotetea mambo hayo humu ndani
mwenyewe yupo humuhumu na jana kaweka tangazo jipya la simu,
hivyo nataka aje mwenyewe acomfirm kama hatocomment hapa ntamtaja kweupeee
Sasa si angempiga makofi basi!
Au angempeleka polisi, au asingeenda kabisa kununua. Yaani mtu utoe number yako au ya ndugu yako mtandaoni kumtapeli mtu? Thats absurd.
Ndiyo hayohayo ya kununua simu kutoka kwa vibaka halafu unakuja kulalamika umetapeliwa!! .. just don't do it!!
Asante kwa uzi huu muhmu...
Nilikutana na mtu kama huyo, baada ya kutangaza anauza BB 9780, tulipokutana akaja na BB 9700 na akajitahidi kuni convince ya kuwa hii ndio BB 9780, Bahati nzuri nami ni mtaalaam kidogo wa hayo. Mshikaji aliona aibu sana.. na kutokomea.