Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekiri tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kinachosubiriwa ni maoni ya kamati hiyo kwenda kwenye Bunge ambapo taarifa na maoni hayo vitasomwa Bunge linaloanza wiki ijayo 04/04/2017.

Mimi kama raia mwenye haki na wajibu kwa taifa langu, nikitambua haki yangu kwamba Bunge ni chombo changu cha uwakilishi, Natoa onyo kwa Kamati husika na Bunge pia, Ole wenu mje na hadithi ya kwamba MMEMSAMEHE.

Narudia ole wenu, Ole wenu, ole wenu kabisa..... Sisi wananchi tuna kesi nzito sana na huyu mtu nje ya yeye kutudharau na kutudhihaki kupitia bunge letu ambalo nyinyi tumewatuma mtuwakilishe...

Nataka mtambue kila mnachofanya hamfanyi kwaniaba yenu, bali kwaniaba yetu, Hivyo sisi tuliowatuma tayari tulishamhukumu na kufunga file lake.

Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Ukisikia kwamba mamlaka yote yanatoka kwa Mungu haimaanishi Mungu wa ulaya au asia, Mungu ni sisi Watanzania..
Sisi tukisema ni Mungu amesema!

Ole wenu wabunge!!!!!

Na Yericko Nyerere
Mission is planned!
 
Bunge gani linalotuwakilisha na tunajua kuna Sheria mbovu zimepitishwa na bunge hili na zinatutesa.
Hakuna wabunge wanasinzia bungeni?
Hakuna wabunge wanachekesha na Hawana hoja bungeni?
Huo uwakilishi wao ndio mbovu na ndio maana hatuna furaha.
Mimi sina imani na serikali wala bunge huenda Hawa ni wawakilishi Wakula Nchi.
Kama walimu wa sayansi waliambiwa wataajiriwa mwezi March na unaisha bila ajira tutarajie nini kwa bunge hili.
Kama wafanyakazi hawapandi madaraja wala kuhama wala kuajiri wafanyakazi wapya halafu tunaona kamati inaundwa ya Kumchunguza mtu mmoja aliesema ukweli kwamba wanalala na wanachekesha nafikiri Mimi naona huenda kuna kawalakini Fulani kwenye hichi Chombo.
Natarajia wataunda tume ya kumwajibisha waziri alielidanganya bunge na taifa kwamba ajira zitatoka mwezi wa tatu la sihivyo imani ambayo sina kwa bunge itakomaa.
Sidhani Kama wanatuwakilisha ila wanatekeleza matakwa ya katiba kwamba kutakua na bunge.
 
Mbona nyie mlimtuhumu lowasa kwa miaka nane,halaf mwisho wa ck mkaja kumsafisha na kumsamehe,na kuwa mgombea wenu wa uraisi.Tatizo la bavicha,akili zenu zimeshikwa na mwenyekiti wenu.anawaendesha atajavyo,na mnafuata tu.jiongezeni vijana
 
Hivi kipindi kile Didas Masaburi aliwatusi wabunge alipewa adhabu gani vile?
Awamu hii tunataka kusikia mtu kapewa adhabu kali iwe fundisho kwa kila mtu.
 
Tangu lini mtu akafutwa Kazi kwa kosa la kwanza tena la kumdharau boss wake? Kifuatacho ni onyo tuu...tena kwa kupitia wakuu zake...maana midomo itasema kwa hofu...kama minister kaangukia pua...
 
Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekiri tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kinachosubiriwa ni maoni ya kamati hiyo kwenda kwenye Bunge ambapo taarifa na maoni hayo vitasomwa Bunge linaloanza wiki ijayo 04/04/2017.

Mimi kama raia mwenye haki na wajibu kwa taifa langu, nikitambua haki yangu kwamba Bunge ni chombo changu cha uwakilishi, Natoa onyo kwa Kamati husika na Bunge pia, Ole wenu mje na hadithi ya kwamba MMEMSAMEHE.

Narudia ole wenu, Ole wenu, ole wenu kabisa..... Sisi wananchi tuna kesi nzito sana na huyu mtu nje ya yeye kutudharau na kutudhihaki kupitia bunge letu ambalo nyinyi tumewatuma mtuwakilishe...

Nataka mtambue kila mnachofanya hamfanyi kwaniaba yenu, bali kwaniaba yetu, Hivyo sisi tuliowatuma tayari tulishamhukumu na kufunga file lake.

Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Ukisikia kwamba mamlaka yote yanatoka kwa Mungu haimaanishi Mungu wa ulaya au asia, Mungu ni sisi Watanzania..
Sisi tukisema ni Mungu amesema!

Ole wenu wabunge!!!!!

Na Yericko Nyerere
Povu bayaaaaaa!Yaani wewe tu ndio wananchi unayeamua kama Mungu;unajua nchi ina Raia wangapi ambao wanapenda makonda na wana hukumu tofauti na mawazo yako??
 
Eri maamuzi ya umma....tangu lini watu wenye akili timamu wafanye maamuzi ya kugusa nchi sababu tu ya wahuni 200 wasio na kazi?
 
Wamepitisha sheria ya madini usiku tena huyu huyu babu kifimbo cheza mhishimiwa Kazi Ndugai akiwemo, leo anaenda bandarini nataka kuunda tume atailipa yeye au? Huyu nae chunusi atumbuliwe tu. Bashite sitanshangaa akipeta.
 
Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekiri tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kinachosubiriwa ni maoni ya kamati hiyo kwenda kwenye Bunge ambapo taarifa na maoni hayo vitasomwa Bunge linaloanza wiki ijayo 04/04/2017.

Mimi kama raia mwenye haki na wajibu kwa taifa langu, nikitambua haki yangu kwamba Bunge ni chombo changu cha uwakilishi, Natoa onyo kwa Kamati husika na Bunge pia, Ole wenu mje na hadithi ya kwamba MMEMSAMEHE.

Narudia ole wenu, Ole wenu, ole wenu kabisa..... Sisi wananchi tuna kesi nzito sana na huyu mtu nje ya yeye kutudharau na kutudhihaki kupitia bunge letu ambalo nyinyi tumewatuma mtuwakilishe...

Nataka mtambue kila mnachofanya hamfanyi kwaniaba yenu, bali kwaniaba yetu, Hivyo sisi tuliowatuma tayari tulishamhukumu na kufunga file lake.

Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Ukisikia kwamba mamlaka yote yanatoka kwa Mungu haimaanishi Mungu wa ulaya au asia, Mungu ni sisi Watanzania..
Sisi tukisema ni Mungu amesema!

Ole wenu wabunge!!!!!

Na Yericko Nyerere
Mawazo kama haya ni ya kipuuuuz kabisa.
Huwezi onya Bunge wewe, WHO are You by the way.

Uliowaomba wamuite
 
Binadamu anapiga baba zake! Binadamu hapigi baba zake, hazingizii watu dawa, hachukui rushwa etc!
Tuachieni mtu wetu Mungu atasimama na kumtetea Mungu haangalii uso wala sura ya mtu wala mbwembwe za kimwili ziwe za madhabahuni au kwa waandishi wa habari. Mungu huangalia roho ya mtu kwenye swala husika roho yake ikoje. Makonda usije kosa usingizi kwa ajili ya adui. Lala usingizi mnono majeshi ya Bwana yako nawe adui zako japo waje kwa njia moja wakiunganisha vikosi. Lakini watatawanyika kwa njia saba na kupoteana. Tunakuombea
 
Bahati nzuri wabunge ni kaka zetu Dada zetu wengine ni baba zetu na mama zetu alichokiri mbele ya kamati ya bunge wametuambia..sasa walete sarakasi zao za kina Tulia Macho afu waone
 
Huu uzi una mapungufu makubwa sana na kosa kubwa la kitaalam. Ina maana kamati na bunge wana option 2 tu, kukutii wewe au kutokukutii na si vinginevyo. Makosa kama haya ndiyo yaliyomfanya hata mkuu akatoa tamko kuwa hapangiwi cha kufanya.
 
Hayo ni maigizo tu yamefanyika, sitegemei jipya lolote, Of course sijawahi kutegemea jipya toka kwa kitu kilicho chini ya Ccm!
 
Back
Top Bottom