Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekili tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kinachosubiriwa ni maoni ya kamati hiyo kwenda kwenye Bunge ambapo taarifa na maoni hayo vitasomwa Bunge linaloanza wiki ijayo 04/04/2017.

Mimi kama raia mwenye haki na wajibu kwa taifa langu, nikitambua haki yangu kwamba Bunge ni chombo changu cha uwakilishi, Natoa onyo kwa Kamati husika na Bunge pia, Ole wenu mje na hadithi ya kwamba MMEMSAMEHE.

Narudia ole wenu, Ole wenu, ole wenu kabisa..... Sisi wananchi tuna kesi nzito sana na huyu mtu nje ya yeye kutudharau na kutudhihaki kupitia bunge letu ambalo nyinyi tumewatuma mtuwakilishe...

Nataka mtambue kila mnachofanya hamfanyi kwaniaba yenu, bali kwaniaba yetu, Hivyo sisi tuliowatuma tayari tulishamhukumu na kufunga file lake.

Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Ukisikia kwamba mamlaka yote yanatoka kwa Mungu haimaanishi Mungu wa ulaya au asia, Mungu ni sisi Watanzania..
Sisi tukisema ni Mungu amesema!

Ole wenu wabunge!!!!!

Na Yericko Nyerere
Bavicha eti wanachimba biti, narudia, kajipangeni tena mpate majority bungeni vinginevyo mambo yataendelea kwenda kinyume na mtakavyo na bahati mbaya hamna mkakati wowote wa kuongeza wabunge hivyo mtaendelea kupigiga na kuchimba biti zisizo na meno!
 
Mkuu hilo haliwezekani
Mi nawashauri achaneni na makonda na mtafute agenda nyingine
Makonda hakuna atakayemfanya chochote
Labda magu abadili upendo wake kwa mh.makonda venginevyo mtaishia kupiga kelele ambazo hazina faida
Ni ushauri tu na kama hutaki muda utaongea
Na watakuja hama nchi makonda atakapokuja kuwa waziri wa mambo ya ndani!
 
Watanzania hatusimamiii sheria na kanuni tulizojiwekea. Mbaya zaidi sisi kwa sisi watawaliwa tunaidhinisha watawala watubague katika kutuhukumu yaani tunaidhinisha madaraja baina yetu sisi watawaliwa kwamba mie nihukumu ila yule usimhukumu kwa kosa lilelile kama langu. Ni mbaya sana. Kisha watawaliwa haohao wanapoamua kusaidia majambazi dhidi yq Polisi mnatafuta mchawi
 
Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Na Yericko Nyerere
Sema wewe na wenye miono kama yako ndio mmefanya maamuzi na si kutushrikisha wote kwenye upuuzi wenu wa kutetea ngada. Mimi na wenzangu wenye information kama zangu wanazijua vyema njama zilizopo nyuma ya hiki kinachoitwa bunge kudharauliwa.
 
Team wema mtagaragara chini, jinyongeni mfe kabisa au mhame nchi......bashite atapewa onyo kali, jiandaeni kisaikolojia mapema kabisaa!
 
Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekili tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kinachosubiriwa ni maoni ya kamati hiyo kwenda kwenye Bunge ambapo taarifa na maoni hayo vitasomwa Bunge linaloanza wiki ijayo 04/04/2017.

Mimi kama raia mwenye haki na wajibu kwa taifa langu, nikitambua haki yangu kwamba Bunge ni chombo changu cha uwakilishi, Natoa onyo kwa Kamati husika na Bunge pia, Ole wenu mje na hadithi ya kwamba MMEMSAMEHE.

Narudia ole wenu, Ole wenu, ole wenu kabisa..... Sisi wananchi tuna kesi nzito sana na huyu mtu nje ya yeye kutudharau na kutudhihaki kupitia bunge letu ambalo nyinyi tumewatuma mtuwakilishe...

Nataka mtambue kila mnachofanya hamfanyi kwaniaba yenu, bali kwaniaba yetu, Hivyo sisi tuliowatuma tayari tulishamhukumu na kufunga file lake.

Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Ukisikia kwamba mamlaka yote yanatoka kwa Mungu haimaanishi Mungu wa ulaya au asia, Mungu ni sisi Watanzania..
Sisi tukisema ni Mungu amesema!

Ole wenu wabunge!!!!!

Na Yericko Nyerere
Neno zuri, but can assure you nothing substantial will come out of that! By the way, amekiri mambo gani/tuhuma gani? This is a very important piece of information lacking in your post Yeriko!
 
Akili za wabunge wa Ccm walishazikopesha kwenye chama cha kikomunisti china.Wamebaki na ubongo wa kula na kunya tu.We fikiri walivyopitisha mswaada wa gesi na mafuta saa sita usiku.Then wanavyolalama leo.Fikiria walivyotoka nje bunge live.Walivyokuja kushabikia.Hao watu utasema wanaubongo kweli?Makonda walilia lia sana.Wameletewa wamsulubu kwa niaba ya wananchi,Hukawii kusikia wakimtetea tena.Hawa ni watu wa ajabu ispokuwa bashe tu!Sina imani nao tena,Na wasubiri kwenye kona tu 2020 nawakata shingo kwa nyuma wao na mfugaji wao wa magogoni
 
yericko alikuwa zamani huyu wa Leo wa kichina, bora Mara mia God Lister malisa japo Siku hizi siyapendi Kabisa machadema
 
Unaanza kulipangia bunge juu ya adhabu?? Bunge halijatoa tamko na ww unasema au kukaririshwa kua amekubali,,,so unatuaminisha kua unajua kilichoendelea walipomuhoji? Km ulivyotuaminisha kule kawe 2015? Ili baadae wakisema hana hatia uje na lawama? Ha ha ha wacha bunge lifanye kaz yake maana ww ni mmoja waliopaza sauti kua ameagizwa na mkuu asiende bungen kuhojiwa sasa leo unaleta tena hadithi zako zisizofikirika?? Tukiza mshono bunge litaleta mrejesho
 
Mkoa wetu uliojaa wasomi hatuwezi kuongozwa na kilaza....

Tutoleeni huyu mdudu hatufai!!!

Kwanza ana nyota ya zero hadi mkoa wetu umekuwa hovyo kabisa kielimu!!
 
Back
Top Bottom