Onyo kali

Wanaume wa JF majasiri sana.. unamtongoza mtu PM hujui yukoje kama jini je? Mi ukija PM na swagga za mtongozo nacheka nakaa kimya maana naweza kukuentertain kumbe ndo danga linaloniweka mjini nikakosa kulelewa usawa wenyewe huu ntaishije na mtoto mie. Kufunga sijui wakija nawachek tu basi
 

Asante mkuu
 
Dah....haya kachukue buku 7 pale Lumumba[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
kumbe umukagame ni mwanamke mie nilijua mwanaume sikuzote.
 
Mwezi mchanga.
 
Ni sawa na utongozwe mtaani halafu upite barabarani unaanza kutangaza..."jamanieee mnaonitongoza nitawatajaaa..."

Milembe itakuhusu...Chelsea hoyeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…