SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,044
LEO NI TAR 01 - 04 - 2016
KUMBE HII NI ILE SIKU WANA WA ADUI WAMEIBATIZA KUWA SIKU YA " WAPUMBAVU NA YA UONGO"(FOOLISH DAY,
WARNING; ⚠
☝LEO NIMWONE MKRISTO AKIMSAIDIA SHETANI KAZI YA KUMSEMEA UONGO KWA WENGINE,
KUMBUKA SHETANI NI MWONGO NA NI BABA WA HUO UONGO,
Efeso 4. 25
Ufunuo 21. 27
JITENGE MBALI NA UOVU WA KILA NAMNA. MTAKASE KRISTO MOYONI MWAKO KILA WAKATI.