Tokyo40
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,065
- 1,926
Onsen - mto wa moto
Japan ni nchi ya volcano, ina mito ya moto kila kona ya nchi.
Inasemekana kuwa maji ya mito moto yana madini yanayosaidia mwili; yana nguvu ya kuponyesha magonjwa mbalimbali, kupunguza maumivu ya viungo, kusaidia mwili upate nguvu mpya na kusaidia kukupa usingizi mzito.
Sheria za Onsen Japan:
1. Jioshe na sabuni vizuri kabla ya kuingia kwenye mto.
2. Nguo hairuhusiwi zaidi ya taulo moja kwa jinsia yoyote.
Onsen zipo za wanawake tupu, wanaume tupu na mchanganyiko.

Sehemu ya kujiosha na sabuni kabla ya kuingia kwenye mto.