Onni Sigara ni nani?

Onni Sigara ni nani?

Hata Wewe hapo ulipo ungekuwa tu una ile Kamusi ya TUKI nadhani ungekuwa Onni Sigala ' number two ' kwani maneno yake mengi anayatoa huko. Tatizo la Watanzania wengi ni Wavivu Kujisomea na Kutafuta ' Maarifa ' hivyo akitokea tu Mtu ambaye anajua Kucheza na akili za Watanzania basi hao hao Watanzania humuona Shujaa au Msomi sana au Mtu mmoja mahiri na mwerevu wakati ni mambo ya kawaida sana.
Ndani yako unakawivu inaonekana hupendi anachokifanya jamaa acha kaoyo hako jomba
 
Mkuu tutapata wapi muda wa kusoma kamusi ya TUKI badala ya kufuatilia akina Diamond ,Wema,Mbosso,Amba Rutt ,Zitto,Lissu na wengineo.

Na hili ndilo tatizo ' Sugu ' la Watanzania wengi ( ila siyo Wote ) hali ambayo ni tofauti kwa Majirani zetu Wakenya, Waganda na Wanyarwanda ambao hata ukiwa nao tu utagundua wana IQ Kubwa mno na hata Kundi Kubwa la Vijana Wao ' Wasomi ' huwa hawana Upuuzi / Upupu kama ambao unapatikana maeneo mengi na sehemu nyingi za Tanzania.
 
Ndani yako unakawivu inaonekana hupendi anachokifanya jamaa acha kaoyo hako jomba

Yaani niwe na Wivu na Mtu ambaye ' Madini ' yake mengi anayatoa katika Kamusi ya TUKI ambayo ipo sehemu mbalimbali ila nyie Watanzania ' Wapuuzi ' wachache hamtaki Kujibiidisha katika Kupata ' Maarifa ' hadi Onni Sigara anaamua sasa ajipatie ' Umaarufu ' kupitia Upopoma / Upumbavu wenu.
 
Sawa mmarekani mweusi
 
Ni mkinga sijui mbena mmoja wa huko Njombe
Mchambuzi wa lugha ya Kiswahili ila sijui alijifunzia wapi
Ni mcheshi sana katika maisha ya kawaida utani mwingi
He is a good guy!
Amefanyaje kwani?
kweli una mfahamu sana
 
Mkuu kwann umesema ww ni mbena ungepoint kwenye mada tu, au unataka useme ni ndugu yako
 
Huyo horn cigarette ana kiswahili anachokijua yeye mwenyewe au ni kibena anatuambia kiswahili
Sijawahi kusikia mahali watu wakiongea kiswahili chake
Na sisi ndio waongeaji wakubwa wa kiswahili duniani
Kila neno anayo maana yake
Hicho sio kibena kwali bandugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom