Only Tanzania.......... HII KWA TANZANIA TU........

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,870
34,357
ONLY IN TANZANIA..jpg


Napajua hapo... Chukua Asali halafu usilipe, utawatafuta wahusika mwenyewe tena kwa gharama.
 
Ukitoka hapo kama unaelekea Songea, mita chache mbele ndio kuna ule mnara wa kumbukumbu ya ajali mbaya sana ya Bus mkono wa kulia kabla hujavuka daraja.
 
Nilikwenda kwa shost anakaa nyumba nyumba ya kushare zile Wanigeria wanaita face me I face you. Wakina mama wanapika kwenye corridor, Aliingia mgeni anamuuliza baba anaeshi chumba cha kwanza, wale wakina mama wakamjibu amesafiri, amekwenda Arusha wiki ya pili hii. Mlango wa kile chumba ulikuwa wazi, hata yule mgeni alishangaa, akajibiwa hiyo ndio kawaida yake, hafungi mlango na hakuna mtu anaethubutu kuingia humo, hata ukiingia ukajaribu kuchukua kitu chochote hutoki mpaka mwenyewe arudi na akukute live.
 
Back
Top Bottom