Only programmers will understand this

Only programmers will understand this

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Enhee C6 tupe jibu na ufafanuzi kdg
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    21.6 KB · Views: 369
Boflo nna tatizo la kuona attachments tangu siku kadhaa sasa, hata sijaiona hii yako, ntarudi nikiweza kuona fresh,
 
Last edited by a moderator:
Hah i always aim for left, but in the end its all {
like the right one. 😀
 
Left = Right
Yote ni sawa so mimi sina uchaguzi

katika C++ unaweza kuandika codes katika mstari mrefu ilimradi unafuata syntax
kimaana zote zipo sawa. wa left anaonekana ana nidhamu ya uandishi (readability), wa right hana nidhamu ya uandishi.
nakumbuka tulipokuwa form 1 proffesor alikata marks kwa kila alieandika bila ya ku consider usomekaji mzuri
 
Daah, shule uliyosomea iko juu aisee... yaani ina ma-professor form 1??!
 
kimaana zote zipo sawa. wa left anaonekana ana nidhamu ya uandishi (readability), wa right hana nidhamu ya uandishi.
nakumbuka tulipokuwa form 1 proffesor alikata marks kwa kila alieandika bila ya ku consider usomekaji mzuri

yeah!!! upo sawa... but

"Coding styles are like a*****es, everyone has one and no one likes anyone elses."
~Eric Warmenhoven
 
Kwa sisi wanafunzi tunacheza kotekote.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom