Hapa huwezi kutumia simultaneous equation mkuu.Kwa nini da (Engeneer) mbona hata form one anaweza? Akijua simultaneous equation mambo yote. Labda logic ya kupanga hizo equation
Sent using Jamii Forums mobile app
X = 31
Mathematics ni sayansi mkuu🙂 😀 😱 😳 🙄 😵 Hmm. Sitaki hata kujisumbua, maana naona michoromichoro tu na namba kwa mbaali... Mngeleta mambo ya kisayansi hapa tungeheshimiana...
Buraza umetisha.SOLUTION
Since angle BCD=124°
angle<ACB = 180-124=56°
angle <ACB=56°
Since line AC= line BC
Then <CAB= <ABC
Recall angle ACB = angle ABC=124°
Then angle CAB =62°
angle ABC =62°
from angle CAB=2X°
2X°=62°
X=31
From angle ABC=(14Y+6)°
( 14Y+6)°=62°
14Y=62-6
14Y=56
Y=4
ANSWERS X=31 ,Y=4
AM IN LOVE WITH MATHEMATICS
Cc. herufi kubwa
Definition of scince is: "The intellectual and practical activity encompassing the systematic study of the structure and behaviour of the physical and natural world through observation and experiment."🙂 😀 😱 😳 🙄 😵 Hmm. Sitaki hata kujisumbua, maana naona michoromichoro tu na namba kwa mbaali... Mngeleta mambo ya kisayansi hapa tungeheshimiana...
Kama huja ja hilo basi hata hiyo scince huielewi na wala usijidanganye kuwa unaona ndani.
Lakini siyo kama hizi nyuzinyuzi...hahahah sasa sayansi nazo si hesabu pia!
Hahahahahaaaa...
Huo ni mtazamo wako, sioni haja ya kubishana na wewe...Definition of scince is: "The intellectual and practical activity encompassing the systematic study of the structure and behaviour of the physical and natural world through observation and experiment."
Maana yake ni nini? Hapo ndiyo utajua hiyo michoro michoro ni tools ambazo zinatumika katika ku Analyse activities of the structure and behaviour of the physical and natural world katika ku observe na kwenye Experiments ambazo zunakuwa conducted.
![]()
![]()
Kama huja ja hilo basi hata hiyo scince huielewi na wala usijidanganye kuwa unaona ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanasayansi au mtu anayejua sayansi asijue hiyo hesabu🙂 😀 😱 😳 🙄 😵 Hmm. Sitaki hata kujisumbua, maana naona michoromichoro tu na namba kwa mbaali... Mngeleta mambo ya kisayansi hapa tungeheshimiana...
It's your point of view... I respect it...Hakuna mwanasayansi au mtu anayejua sayansi asijue hiyo hesabu
Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
Sayansi kivipi?Mathematics ni sayansi mkuu