Only in Jamii Forum

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Unalike 99 kupata iyo moja tu ufikishe 100 unaweza subiri miezi 3.

Unajikakamua kujibu Mada with evidence ila bado unapondwa tu

unajitaidi kucomment kila post mwishowe watu wanakuja na post hivi wewe ni nani

Jaribu kuomba jina halisi la mtu au kapicha tu uone...

Ukija na utoto mwingi humu after a week unajikuta unabusara za kizee kabisa.

Bila kunogesha na chanzo cha habari au kapicha taarifa hainogi kabisa.

Only in Jamii forum zipo nyingi tuu...Continue
 
Unalike 99 kupata iyo moja tu ufikishe 100 unaweza subiri miezi 3.
Mkuu, mbona una likes nyingi ukilinganisha na michango yako?
Messages:1,796
Likes Received:1,505
Kwa ratio ya 0.84 inaonesha michango yako ina ubora wa hali ya juu... The bottom line being 0.5...
 
umekuja na broken yako lugha ya malkia linguistics watakufanyia kazi tu.

Cc Twishen kwa Ras Simba inakuhusu
 
BAN ni kichapio/kinyoosheo kwa wale watukutu wote kama kawaida mtu mzima hashikiwi Kiboko.
 
JF unakuta mtu wa watu kajitutumua kuandika maada weee, hasa mtu akiwa mvivu wa kusoma bas anajidefend atakuambia tutolee uandiashi wako wa kifacebook hapa . bado mpk leo natafta uandishi wa kifacebook upoje.
 
images(10).jpg

Am only in JF
 
JF unakuta mtu wa watu kajitutumua kuandika maada weee, mwishowe anaambiwa tutolee uandiashi wako wa kifacebook hapa. bado natafta uandishi wa kifacebook upoje
Kiongozi kama ulikua kwa Oblangata yangu.

Mpaka najiuliza huyu Facebuku ni nani?
 
Ukitegemea majibu chanya tu jf unaweza pata shinikizo la moyo kabisa vile ukileta post humu jiandae na Majibu hasi ya kukukatisha tamaa kabisa

Kama upo na moyo mwepesi huezi log in tena
 
Back
Top Bottom