Only in BK

ahaha Retired kwa hiyo nikiandika(kujua) english au kiarabu tayari nimekuwa Englishman au Arab?
Mimi sio muhaya ila nimekulia huko.
Mambo ya ccm tukutane kule jukwaa la juu sio hapa.
acha hizo, hicho ulichokiandika ni kihaya cha ndani! huwezi kukijua kama sio mzawa.kiarabu, Kichina, kiingreza and all those foreign languages tunafundishwa shuleni! siyo kihaya!
 
acha hizo, hicho ulichokiandika ni kihaya cha ndani! huwezi kukijua kama sio mzawa.kiarabu, Kichina, kiingreza and all those foreign languages tunafundishwa shuleni! siyo kihaya!
Kuna wimbo unaitwa nsenene una maneno hayo hayo kwahiyo labda pia kayatoa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…