Samhoodsam
Member
- Sep 24, 2015
- 33
- 6
Napenda tukutane wote wenye qualifications za diploma waliomba vyuo mbalimbali mwaka huu 2017/2018 na either wamechaguliwa au laa pia kama yupo aliyechaguliwa kwa awamu ya kwanza atujuze pia nimelenga vyuo kama ARDHI pia UDOM kwani nahisi kunatatizo, naomba kuwasilisha!!