wadada ndio tupo at risk sana kwa hawa wanaume wa mtandaoni wanaojifanya wanataka kutuoa! mtu anakutangazia ndoa hata kwa sura hakujui si majanga haya?
heheheeh!!! fursa zote hizi. hebu kamata moja fasta fasta, usisubiri ije yenyewe.
hongera. mie hata sijiamini kwakweli.
so atleast ndani ya mwaka si mtakuwa mmejuana as wa huko mitaani ndio wako huku
mitandaoni....asante kwa ujumbe wako Himidini
kuna kama mbili nazifukuzia,kitaeleweka mbele kwa mbele lol
Pole sana, sasa utampata wapi mtu wa ukweli wakati hujiamini wala hujielewi?!
nishampata, sihitaji mwingine.
^^
Mwaka ninaousemea si ule wa kuchart tu ihusishe zaidi kuonana,kutembeleana, kufahamiana ndugu, kazi, na itikadi za maisha as you know long distance relationships zina matatizo, tatizo wengi wakifahamiana wanaonjana wanadhani wamejuana, human behaviour is beyond their normal eyes!
Hope umenielewa Heaven
^^
hakuna wa kunipora.Watakupora wenye kujiamini, it's only a matter of time unless you step up ur game, Goodluck though.
Watakupora wenye kujiamini, it's only a matter of time unless you step up ur game, Goodluck though.
hakuna wa kunipora.
Do u believe Online relation ship works out Good
OK, usisahau ule wakati unawatumia kama jojo ndo washaingia mdomoni kwako na wewe ndo unasikia utamu wa jojo... Ukizingatia kusikia utamu wa jojo lazima uiweke mdomoni kwako... Na dno hapo hapo itakapokunatia.... NA ukikaa vibaya inakugandia kwenye nguoasante sana na mimi nawatumia kama jojo
Hivi we siku hiz ukoje..?? na huko kupora nani kakufundisha..?? huko nyuma hukuwa hivyo, rafiki ulimpata sasa amekuharibuMporaji Niko hapa LOL
Hivi we siku hiz ukoje..?? na huko kupora nani kakufundisha..?? huko nyuma hukuwa hivyo, rafiki ulimpata sasa amekuharibu
Hapo kwenye red ndio jambo la msingi kwani hatupaswi kuiogopa mitandao. Kwetu sisi wabongo hii kitu bado haijazoeleka. Nafikiri taratibu tutazoea ila yatupasa kuwa makini kama tunavyokua makini mtaani jipe muda , mjue mtu huyo kwa kiasi unachoweza ili hata huko baadae usijilaumu bali utasema ulifanya sehemu yako lkn mengine ilikua vigumu kuyajua kwa sababu ya ubinadamu wetu.^^
Ha ha ha eti kujificha nyuma ya screen, by the way Mitandao ni njia ya kisasa inasaidia kukutanisha watu ila linapokuja suala la mapenzi, hekima ya subira na kupeana muda itasaidia kujiridhisha!
^^
OK, usisahau ule wakati unawatumia kama jojo ndo washaingia mdomoni kwako na wewe ndo unasikia utamu wa jojo... Ukizingatia kusikia utamu wa jojo lazima uiweke mdomoni kwako... Na dno hapo hapo itakapokunatia.... NA ukikaa vibaya inakugandia kwenye nguo
Absolutely yes
Mporaji Niko hapa LOL
Kwenye kuomba kuna kukataliwa....wewe ndio rafiki yangu kwa hiyo wewe ndio umeniharibu...............
naomba urafiki uishe ili nirudie kama zamani