Online dating


Nakumbuka kuna mmoja nilitongozana nae hivi hivi kupitia Mitandao kisha tukakubaliana kukutana pale katika Mghahawa wa TARAKEA Mwenge hivyo nilivyokuwa naenda eneo la tukio Mwanamume nikawa kila mara nawasiliana nae ili tusipotezane ndipo wakati nashuka katika Daladala enzi hizo Kituo kilikuwa pale pale mkabala ( jirani ) ndipo nikampigia tena yule Demu na kumuuliza yupo wapi tukawa bado tunapotezana nikamwambia hebu panda hapo juu katika hizo ngazi za TARAKEA ili nikuone vizuri nije. Nilichokiona baada ya hapo si Binadamu bali ni Kituko tupu. Dada niliyekuwa nachati nae Mtandaoni ni Mweupe tiiiiiii sasa huyu niliyekuwa naenda kupeana nae ushirikiano wa kukutana alikuwa ni mweusi utadhani ni Mkata Mkaa Kibada.

Sasa kibaya zaidi kila nami nilipokuwa nautafakari ule Ubaya wake na yeye ndiyo akawa kila mara ananipigia hivyo nilichokifanya ni kumuonyesha kuwa Mimi huwa sipindishi maneno na mshipa wangu wa aibu ulishakatwa zamani sana Wodi ya Uzazi ndipo nikampa pale pale makavu yake kwa kumwambia kuwa siwezi kuonana na Wewe kwakuwa ni mbaya wa kutukuka na sikutaki na tusisumbuane tena na nakumbuka kilichofuata hapo ni bonge la msonyo ambao ulifanya hadi Simu yangu ikazima ndipo nami nikaona pia ni fursa adhimu ya Mimi kubadili namba ili niepuke Kero zake.

Jamani japo Vitabu vya dini vinasema kuwa Binadamu wote ni sawa ila Mimi sikubaliani nalo kwani ni ukweli usiopingika kuwa kuna Watu ni Wabaya duniani hakuna mfano.
 
 

Hahahaah....Hahahaa. ...
 
Hapo lazima nijifanye nimepigiwa simu ya kifo ili nitoke nduki
 
Haya maswala yapo kisaikolojia zaidi, kama nia yako ni kutimiza haja zako za mda mfupi hii haina madhara maana make up zitasaidia kuchochea hisia ili ufike mbali zaidi, ukistukia kesho yake unakua umeshamaliza tatizo lako, unless kama unataka kuoa. Maswala ya kisaikolojia acha tu, mtu unakua upo bed na kimtu cha ajabu ajabu lakini ili ufike unakotaka kufika unafumba macho na kuvuta picha ya Mrembo mwingine kama Masogang' unamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…