Online dating ni shida

Online dating ni shida

gwahe

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
147
Reaction score
84
Wana MMU.

Kutokana na tafiti za mapenzi, watu waliokutana kwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye chumba chenye giza, ikiwa wote hawafahamiani hata kwa sura,wote waliambiana na kuelezana vyema na kila mtu akimweleza mwezie vizuri kwa ukweli wake wa mwenekano na historia zake.

Sasa kutokana na tafiti hiyo, watafiti walitegemea mafanikio chanya kwa watu watakao tongozana kupitia mitandao ya kijamii au online dating au social networks au kwa jina la blind dading.

Lakini cha kusikitisha sana, online dating au blind dating, imekuwa sanaa na maumivu zaidi. Watu hawaelezani ukweli, watu wanafichana uhalisia wao na kusema uwongo. Watu wanatumia social network kwa malengo zao.

Please let us use this technology for good reasons for positive results otherwise tutaendelea kuumizana maana hizi online dating or blind dating imekua shida hasa kwa pande nyingine inayohitaji serious couples au serious commitment in relationship.
 
Sio online tu unaweza ukakutana na mtu hata mmekulia kijiji kimoja na bado past yake usiijue....utajua amelala na wangapi? Utajua ametoa mimba ngapi?? Cha muhimu ni kuwa wakweli tu na waaminifu na zaidi tusipende kuchokonoa sana past...za kazi gani? Watu kama mmepima ngoma mko negative, mmepima mkaona mna uwezo wa kuzaa watoto tatizo liko wapi
 
Sio online tu unaweza ukakutana na mtu hata mmekulia kijiji kimoja na bado past yake usiijue....utajua amelala na wangapi? Utajua ametoa mimba ngapi?? Cha muhimu ni kuwa wakweli tu na waaminifu na zaidi tusipende kuchokonoa sana past...za kazi gani? Watu kama mmepima ngoma mko negative, mmepima mkaona mna uwezo wa kuzaa watoto tatizo liko wapi

Khaaa, kama ngoma ni negative, anaweza kuzaa. Hayo ndiyo ya Muhimu tu?? Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Khaaa, kama ngoma ni negative, anaweza kuzaa. Hayo ndiyo ya Muhimu tu?? Khantwe

Mimi nimeandika hivyo kutokana na hoja yako ya 'past'.....ndo mambo muhimu yanayoweza kuwa affected na hiyo past...inawezekana yapo mengi ila mi akili yangu ndo imegota hapo
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimeandika hivyo kutokana na hoja yako ya 'past' ndo mambo muhimu yanayoweza kuwa affected na hiyo pastinawezekana yapo mengi ila mi akili yangu ndo imegota hapo

True @ Khantwe kama umeuona, nime like comment yako. Nafikiri ukweli na uwazi ndiyo nguzo katika online dating. Mimi kama mtalaamu wa IT naamini online dating ndiyo njia ya kisasa ya kupata mahusiano mapya kama itatumiwa vizuri.

Watu wanaoana na wengine wanakuwa na mahusiano ya karibu kama biashara na n.k. Lakini all in all. Lazima watu wawe wakweli. Kazi na biashara zinatufanya kukosa muda wa kufanya social gathering. Lakini social networking inaweza kufanya hivyo kwa sasa.
 
Appuch mm, huwa najickia rrraah xana ninapouona uwezo wa mwanamke ktk kujieleza kwa hoja chanya kadri ya upeo wake. Ni kwa sababu wasioweza kujieleza pia hawawezi kuhoji na ndo watakandamizwa na kudhulumiwa. Khantwe amefanya kwa uwezo wake.

Kupenda kunaanza kwa kuona, kusikia afu kutenda. Ni lazma muonane, kam umemtamani(una hisia naye) nilazm mkapime ngoma(kama mnajua faida ya kupima). Ni lazma muelezane dira yenu ni ipi, mkishaisoma dira yenu...ni vema mgegedane, mzungumze kuhusu mimba na mfanye kitendo cha kutega mimba, mimba ikisomeka muoane kuyaenzi mapnz yenu kwa kulivaa taji la ndoa.

Napenda ivvo mm. Habari ya kufukua the past, hutapata ukweli. Mabaya watu hufanya kwa siri. Anzia hapo ulipomuona na ukavutiwa naye. Nataka mimba, ndoa ifuate coz hiki ni kzaz cha mchina...Wakiwa shule, wadada wameshusha injini adi nati zimekufa tread, akshka mimb inachoropoka tu. Tunafanya ivo tusijeanza kumsaka kalumanzira kuhusu mimba...kumbe mdada hana kizaz(kauza) NI IVVO TU.
 
Hata offline dating nayo ina matatizo mengi tu.

ukimpata demu mtaani na baadae mkashindwana sababu zitatolewa nyingi sana mara kicheche,hajatulia etc lakini ukimpata online baadae mkaachana itakuja generalization 'mtu mwenyewe umempata mtandaoni ulitegemea nini'.....
 
Siku zote online dating inaishia na offline dating..sasa tatizo liko wapi hapo.

Kama mnaanza kuonana online, then mnaenda offline basi hamna budi kufuata dating principles. Tatizo wengi wanaanza online then next step wanaishia nyumba za wageni, afu wanalalamika online dating..!
 
ukimpata demu mtaani na baadae mkashindwana sababu zitatolewa nyingi sana mara kicheche,hajatulia etc lakini ukimpata online baadae mkaachana itakuja generalization 'mtu mwenyewe umempata mtandaoni ulitegemea nini'.....

As if online folks are a different breed from offline folks.
 
Hii inategemea na ntu na ntu, nakumbuka zamani kabla hatujapata teknolojia ya Internet na simu zikiwa ni za TTCL tu tulikuwa na penpal friends Ulaya na ilikuja na positive results kwa kaka yangu RIP alikuja home TZ rafiki yake wa kalamu mswidish na baadaye kaka yangu naye walimualika kwao Sweden kwa gharama zao na bado familia zetu zina mahusiano mema mpaka leo.

Ni ushamba tu kama mtu anamisuse Internet. The world now is connected.
 
Simba hodari huwinda kitoweo chake mwenyewe...
 
Matola umenikumbusha enzi za penpal. Lol zamani ulikuwa unanunua cards posta na kutafuta penpal friends. Sasa nashangaa km penpal works well so why not online dating. Nafikiri tunahitaji kuanza kulipia pesa na kujiunga social network za kulipia ili tuwe serious.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom