Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
unamaanisha nini?
soma utafakari upya, tena na tena.
unamaanisha nini?
soma utafakari upya, tena na tena.
Matola umenikumbusha enzi za penpal. Lol zamani ulikuwa unanunua cards posta na kutafuta penpal friends. Sasa nashangaa km penpal works well so why not online dating. Nafikiri tunahitaji kuanza kulipia pesa na kujiunga social network za kulipia ili tuwe serious.
Mange kimambi ameshawatumia Link mashabiki wake.
Miaka ya nyuma kulikuwa na site moja inaitwa www.friendfinders.com sijuhi kama inaexist nayo ni ya kulipia imeconnect watu wengi sana hasa Marekani.
Sio online tu unaweza ukakutana na mtu hata mmekulia kijiji kimoja na bado past yake usiijue....utajua amelala na wangapi? Utajua ametoa mimba ngapi?? Cha muhimu ni kuwa wakweli tu na waaminifu na zaidi tusipende kuchokonoa sana past...za kazi gani? Watu kama mmepima ngoma mko negative, mmepima mkaona mna uwezo wa kuzaa watoto tatizo liko wapi
True @ Khantwe kama umeuona, nime like comment yako. Nafikiri ukweli na uwazi ndiyo nguzo ktk online dating. Mimi km mtalaamu wa IT naamini online dating ndiyo njia ya kisasa ya kupata mahusiano mapya kama itatumiwa vizuri. Watu wanaoana na wengine wanakuwa na mahusiano ya karibu kama biashara na n.k. Lkn all in all. Lazima watu wawe wakweli. Kazi na biashara zinatufanya kukosa muda wa kufanya social gathering. Lkn social networking inaweza kufanya hivyo kwa sasa.
mbona umefanikiwa kwa mzenjiHata offline dating nayo ina matatizo mengi tu.
Why online / blind as long as kuna warembo kibao wamekuzunguka kila mahali?? Ndio mkome tongoza tongoza watu msiowajua wala kuwaona
True, watu wanaotongoza online watatongoza mpk vilema wa mapenzi. Maana watu wengine ni wazima ukiwaona usoni tu.
Ndio mkomege kuvamia vamia!
Ni kama na wewe umewahi kuweka bandiko la kutafuta mchumba humu au ulikuwa unatania?
Si kila anachoandika mtu humu ni cha kweli