Online dating ni shida

Online dating ni shida

Wana MMU. Kutokana na tafiti za mapenzi, watu waliokutana kwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye chumba chenye giza, ikiwa wote hawafahamiani hata kwa sura,wote waliambiana na kuelezana vyema na kila mtu akimweleza mwezie vizuri kwa ukweli wake wa mwenekano na historia zake. Sasa kutokana na tafiti hiyo, watafiti walitegemea mafanikio chanya kwa watu watakao tongozana kupitia mitandao ya kijamii au online dating au social networks au kwa jina la blind dading. Lakini cha kusikitisha sana, online dating au blind dating, imekuwa sanaa na maumivu zaidi. Watu hawaelezani ukweli, watu wanafichana uhalisia wao na kusema uwongo. Watu wanatumia social network kwa malengo zao. Please let us use this technology for good reasons for positive results otherwise tutaendelea kuumizana maana hizi online dating or blind dating imekua shida hasa kwa pande nyingine inayohitaji serious couples au serious commitment in relationship.
pole vip yamekukuta? kakwambia yeye natural beauty afu ukakuta mchina kashafanya yake?
 
Hii inategemea na ntu na ntu, nakumbuka zamani kabla hatujapata teknolojia ya Internet na simu zikiwa ni za TTCL tu tulikuwa na penpal friends Ulaya na ilikuja na positive results kwa kaka yangu RIP alikuja home TZ rafiki yake wa kalamu mswidish na baadaye kaka yangu naye walimualika kwao Sweden kwa gharama zao na bado familia zetu zina mahusiano mema mpaka leo.

Ni ushamba tu kama mtu anamisuse Internet. The world now is connected.

kaka yako alifia ulaya kwa penpal? kumbe nchi hiiutegemezi kwa wazungu umeanza zamani sana..
 
wana mmu.

Kutokana na tafiti za mapenzi, watu waliokutana kwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye chumba chenye giza, ikiwa wote hawafahamiani hata kwa sura,wote waliambiana na kuelezana vyema na kila mtu akimweleza mwezie vizuri kwa ukweli wake wa mwenekano na historia zake.

Sasa kutokana na tafiti hiyo, watafiti walitegemea mafanikio chanya kwa watu watakao tongozana kupitia mitandao ya kijamii au online dating au social networks au kwa jina la blind dading.

Lakini cha kusikitisha sana, online dating au blind dating, imekuwa sanaa na maumivu zaidi. Watu hawaelezani ukweli, watu wanafichana uhalisia wao na kusema uwongo. Watu wanatumia social network kwa malengo zao.

Please let us use this technology for good reasons for positive results otherwise tutaendelea kuumizana maana hizi online dating or blind dating imekua shida hasa kwa pande nyingine inayohitaji serious couples au serious commitment in relationship.

na hii haiitwi blind dating !!
 
Ni kama na wewe umewahi kuweka bandiko la kutafuta mchumba humu au ulikuwa unatania?

Duhh mahondaw hii ina maana , Yeyote anayeweka bango anafaham ubora wake na anafaham udhaifu wake wa kiafya.
 
Last edited by a moderator:
Blind dating..mi nakulaga wake za watu tu....kuna mmoja yupo mexico.... Sina pesa tu namdanganyaga nipo US.
 
Wana MMU.

Kutokana na tafiti za mapenzi, watu waliokutana kwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye chumba chenye giza, ikiwa wote hawafahamiani hata kwa sura,wote waliambiana na kuelezana vyema na kila mtu akimweleza mwezie vizuri kwa ukweli wake wa mwenekano na historia zake.

Sasa kutokana na tafiti hiyo, watafiti walitegemea mafanikio chanya kwa watu watakao tongozana kupitia mitandao ya kijamii au online dating au social networks au kwa jina la blind dading.

Lakini cha kusikitisha sana, online dating au blind dating, imekuwa sanaa na maumivu zaidi. Watu hawaelezani ukweli, watu wanafichana uhalisia wao na kusema uwongo. Watu wanatumia social network kwa malengo zao.

Please let us use this technology for good reasons for positive results otherwise tutaendelea kuumizana maana hizi online dating or blind dating imekua shida hasa kwa pande nyingine inayohitaji serious couples au serious commitment in relationship.

tatizo liko kwa wahusika. mara nyingi watu hawako wawazi na kwa jamii ya kiafrica watu wengi hatuna mapenzi ya kweli. tunachokitoa mdomoni ni tofauti na kilichopo moyoni
 
Unaelewa ulichokiandika kweli? Au unawala kwa keyboard?

Kama hujaelewa Basi we mlembe inakuhusu.....unawala kwa keyboard ndio lugha gani hiyo...mie sio wa huko mjomba...ha ha ha
 
Kama hujaelewa Basi we mlembe inakuhusu.....unawala kwa keyboard ndio lugha gani hiyo...mie sio wa huko mjomba...ha ha ha

Bangi imepigwa marufuku karibu dunia nzima, usidhani dunia nzima hawana akili kupiga marufuku bangi.

Wataalam wanasema vichaa wote huwa wanaona watu wenye akili timamu ndio vichaa.
 
tatizo liko kwa wahusika. mara nyingi watu hawako wawazi na kwa jamii ya kiafrica watu wengi hatuna mapenzi ya kweli. tunachokitoa mdomoni ni tofauti na kilichopo moyoni

True 100% wanachokitoa mdomoni ni siyo Sawa na uhalisia mahondaw
 
Last edited by a moderator:
mi sioni tatizo la online dating wala offline dating, zote zinawork just fine.. Ukiona haziko sawa upande wako au unakutana na watu wa ajabu jua theres something wrong unafanya.... I have met very fine people online, infact the girl ambaye we had the best relationship tulikutana online...
 
Back
Top Bottom