Online competition searching for miss JF 2011!

sasa yamekuwa ya mchina eeh!!
Mlipokuwa na shida mlijiliza hadi nkawaonea huruma
yaleteni tu ntayashona
basi naomba kope hata vinywele 12 kila jicho kwa ajili ya swaga tu, ntaongezea mascara

we makalio yako ya mchina mi yangu ya mzungu. Lol. Preta aliyachukua kabla hayajafika ila anasema kalio moja limetoboka.
 
Tupige kura hadi wana MMU wataporidhika
au wewe ndo jaji au mhesabu kura?

hahhahaa Payuka bwana,na limwili hili unataka kunishindanisha umiss? nitoe bwana lol
 
sasa yamekuwa ya mchina eeh!!
Mlipokuwa na shida mlijiliza hadi nkawaonea huruma
yaleteni tu ntayashona
basi naomba kope hata vinywele 12 kila jicho kwa ajili ya swaga tu, ntaongezea mascara

we nawe umezidi kuazima, safari hii hupati kope wala nyusi. Lazima ukose shefa la kukutoa. Lol. Ngoja nimpigie preta ayarudishe, msinipe kesi.
 
Miss. . . ?
Unajua wengine ni watu wazima na wajukuu?

Angalau ungeiita mwanamke wa shoka au jina lingine lisilokua limited.
 
Hatuwezi kuwa na yote. . . Wanawake kwa wanawake, Wanaume kwa wanaume na Wanawake kwa wanawake?

Sawa na kunapokua na mashindano mengine kwamba kunaweza kuwa na makundi yanayoamuliwa na umri (bila kujali jinsia), yanayoamuliwa na wanachoshindania wahusika (bila kujali umri wala jinsia), yanayoamuliwa na jinsia (bila kujali umri, kinachoshindaniwa, kupendelea jinsia moja kana kwamba ni bora kuliko nyingine)???
 
Ujumbe wako sijauelewa
 
Lol! Vekesheni spain wamekataza kupiga kura za wikileaks. Hehehe, sasa Voda ushawastua?
please Kingasti, ongeza chaji kwenye vocha yako. Tunatakiwa kumpigia kura mla cha Arusha mmoja hapa.

Oooh am loving this.
 
wakati washiri wetu wa Miss jf with Brain wakiendelea kutafakari na kutafakuri hili shindano

napendekeza kuwepo na kumsaka MR JF with brain muscles.
Tuchangie vigezo viwe vipi afu tutachagua washiriki.
 
i smell anko lundenga over here...:shock:
 
Hujaelewa nini?
Swali la kwamba kuna ubaya gani kukiwa na mashindano yanayohusisha wanawake tu kama ambavyo yapo yanayohusisha umri fulani pekee?

Kwanini unadhani yanakuwa ya "umri fulani pekee"?
 
Huu upuuzi utaisha lini? Mwaka jana ilikuwa hivi hivi. Mwaka juzi nayo hivi hivi.

It's nonsense.
 
napendekeza kuwepo na kumsaka MR JF with brain muscles.
Tuchangie vigezo viwe vipi afu tutachagua washiriki.

Hands down, no ifs, ands, or buts about it, it's it's the incomparable jmushi1. The smartest man ever to ever join JF. If you don't believe me just ask him and he'll tell you himself.
 
Kwanini unadhani yanakuwa ya "umri fulani pekee"?

Nimekupata kwamba ni kwasababu uwezo wao
katika wanachofanya unakua unakaribiana kama sio kulingana.
Ila kwa upande wa jinsia hatuwezi kuwa na yanayohusisha jinsia zote pia yanayozitenganisha bila kuzilinganisha ??
 
Hili mimi nimelisema kwenye post yangu ya kwanza humu, kuwa siamini kuwa lipo hususan kwenye mambo yanayohusisha intellect ya hizo jinsia mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…