Online bussines: Naomba wazo la biashara kuhusu online business

antanarivo

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
448
873
Binafsi napenda sana biashara za mtandaoni. Kama kuna mtu anaweza nisaidia biashara ya online ambayo siyo ya kushirikisha mtu kama ilivyo Forex, kama inalipa, naahidi kumlipa pesa ili mradi anielekeze jinsi gani inafanyika na jinsi gani naweza nufaika nayo iwe na low risk.

0712083454
 
Bishara za mtandaoni unaweza kufanya Tanzania.
#1. Ecommerce
Unauza bidhaa zinazo shikika kwenye tovuti yako, unacho takiwa nikuweka picha,bei na maelezo ya bidhaa. Shopify . Com na ecwid .com watakusaidia kutengeneza tovuti hii kwa wepesi utawalipa pesa kidogo. Wordpress .com/. Org itakusaidia kitengeneza kwa gharama ndogo.

Chakuzingatia
-kiswahili kitawale kwenye tovuti yako
-Uwe na utaratibu wa kutoa elimu kwa watanzania namna yakununua kwenye tovuti yako.
-Njia ya malipo iwe mobile money(asante kwa pesapal na direct pay)
-huduma kwa wateja
-delivery services.

Bishara hii inakuwa kwa kasi sana, watu wapo busy hawana muda wakuzunguka kufanya shopping na kadri siku zinavyozidi kwenda ndio watu wanazidi kuwa busy vibaya mno, wape fursa yakufanya shoping huku wamekaa.

Hizo sijui watanzania wengi hawa tumii mitandao, watanzania wanao tumia internet ni 23+ milioni, itazidi ongezeka kadri siku zinavyo kwenda.

Hii ni biashara ya sasahivi na pia ni biashara ya baadae.
 
Msaada wakuu, naomba kujuzwa fursa ambazo nawezazifanya online na kujiingizia kipato hata kama nikidogo. Kwa ambae tayari anapata hela kwa kutumia mtandao naomba tujuzane fursa akhsante sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom