Online Aptitude Exam/Test

Jcbmmnl

Member
Apr 23, 2018
30
12
Habar zenu wana JF!
Naomba msaad kama kuna mtu ambaye ashafanya "online aptitude test" ya Alistair Group anipe hints kabla sijaanza kuifanya. nia yangu nijue wap naweza pitia kujiandaa ili nifaulu.
 
Habar zenu wana JF!
Naomba msaad kama kuna mtu ambaye ashafanya "online aptitude test" ya Alistair Group anipe hints kabla sijaanza kuifanya. nia yangu nijue wap naweza pitia kujiandaa ili nifaulu.

Hehehe leta tu mrejesho kwa utakacho kutana nacho huko.

Hao jamaa hata ukipita, kupata chance huwa ni ngumu saaaaaaaana. Sala zako tu
 
Habar zenu wana JF!
Naomba msaad kama kuna mtu ambaye ashafanya "online aptitude test" ya Alistair Group anipe hints kabla sijaanza kuifanya. nia yangu nijue wap naweza pitia kujiandaa ili nifaulu.
Kaka aptitude test zao ni za ajabu ajabu tu hata huwezi kuzikariri baada ya kumaliza kuifanya.
Nakumbuka niliwah kufanya online aptitude test yao moja baada ya kuapply nafasi ya Workshop Manager.
Lugha niliyokutana nayo humo hata haieleweki ni kiingereza au Kigiriki.
Mwisho wa siku nikaletewa notification ya kuambiwa tu nimefeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom