Umbwaaaaaaa kabisaShenz kabisa hao jamaa
Vrou van samaria give me bit of water to drink
Habar zenu wana JF!
Naomba msaad kama kuna mtu ambaye ashafanya "online aptitude test" ya Alistair Group anipe hints kabla sijaanza kuifanya. nia yangu nijue wap naweza pitia kujiandaa ili nifaulu.
Kaka aptitude test zao ni za ajabu ajabu tu hata huwezi kuzikariri baada ya kumaliza kuifanya.Habar zenu wana JF!