Onja msosi msisimko na coca cola...!!!

Onja msosi msisimko na coca cola...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Dona bamia.
IMG_20171102_155909.jpg
 
Am still looking closely those tiles.Nazirekodi tiles hizi kwa umakini mkubwa mkuu ili kufananisha na picha zako za nyuma.
Time will tell
 
Kwa mda huu utakua umeomba kupiga picha ukaja nayo huku.
 
Hizo mixer zenu mtakuja kujitia magonjwa mabaya mtindi+cocacola ???
 
Nimegundua wewe ni mpenda msosi kama Kasie au tuseme hujinyimi kwenye chakula.

Kama unajipikia mwenyewe hiko chakula hongera sana, siku ukija kuoa mwanamke hatakusumbua na maringo au moods za leo sijisikii kupika nataka tukale chakula cha kununua wakati huo vitu vya kupika vioo ndani na hela ya kununua msosi mgahawani aidha haitoshi au haipo kabisa kwa wakati huo.

Usiku mwema.
 
Hahaha asante mkuu, huwezi amini I learnt cooking thru apps za simu na videos kwa YouTube
 
Nimependa nyama tu vingine ukule mwenyewe
 
kwa mwanaume hiko chakula nikidogo sana
 
Back
Top Bottom