Basi upo sawa kabisa. Ila kuhusu increment hapo serikali haina sauti kwa private sector, maana private sector itamuongezea mshahara mfanyakazi wake kulingana na performance na pia kampuni imepata faida kiasi gani.
Humu Kuna mtu alikua anasema serikali ikiongeza mshahara inakua kwa wote, ndipo nilipoona Kuna tatizo kwa uelewa.
Tena Kuna kampuni Sasa hivi zinafanya retrenchment, achilia story za kuongeza mshahara wao wanawaza kupunguza wafanyakazi.
Watu wengi wanapenda ajira za serikali sababubya hiyo security, ww ukiwa unawaza kuongezewa mshahara kampuni inawaza kukupunguza