Lakini sio walimu wasiofundisha ambao kazi yao ni kudai mishahara kama wa shule za kayumba nadhani matokeo yake unayaona zero kibao,usitegemee kutoa daktari,zamani walimu walikuwa na wito wanapiga kazi kinoma thus why walitoa product za ukweli.....bisha?ungejulia wapi jf wewe acha ushoga madaktari wenyewe walifudishwa na walimu...