Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Joined
Dec 4, 2013
Posts
24
Reaction score
4
Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!

Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na mango garden nikawakuta wengi sana wanagonga kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi nimuulize bar maid akaniambia wanafanya sherehe ya rafk yao!

Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu
 
Utamu wa ngoma ingia ucheze. ..... utajua tu ukijaribu ... sema uko wapi?
 
For stronger nation " MUST BE ADDRESSED " tulinde maadili kwa ajili ya vizazi vijao.
 
Hivi jina halisi la hili tendo ni kufanya nini?
 
kwaani wanao nanihiii na wanao fanyiwa wote si sawa? wanapata wateja wapi km siyo wanaume.
 
Back
Top Bottom