Ongeza siku

Ongeza siku

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,787
Maisha yenyewe mafupi haya! Kwa nini nisikuongezee walau one day? Haya kula hiyo! Ni kijana tourguide akiongea na mtalii kabla hawajapanda mlima.
"To plant mout Kilimanjaro is very president job " kwa maana ya "kupanda mlima K'njaro ni kazi rahisi sana"
Niongezee siku basi na wewe! Kupeana si ni kikoa bwanaa! ?
 
ila kweli bwana la msingi tuongezeane siku tu ,nchi ishauzwa hii!hata hela ya vocha japo ya 450 hatujagawiwa!ah
 
Jamaa anaulizwa na mtalii

Mtalii: What is the name of that tree?
Jamaa: "MFURUFURU"
 
kweli nimeongeza siku jamani
kasimu acha kuvuta mto wangu..... katelefone dont smoki my river teh teh
 
Back
Top Bottom