Oneni upuuzi wa Sugu

Tutajuaje kuwa iliyo ya post yana ukweli ama umetumwa?
Uko sahihi kabisa. Tena inawezekana ni mr. Phillip Mulugo ndo amemtuma aje kumchafua kamanda sugu. Tupo hapa kuhakikisha Mr.Sugu hachafuliwi. Anzisheni sinema nyingine. Hii imefeli.
 
Muweka mada anatoka povu sana ni dereva wa bajaji nn?maana naona povu limejaa juu ya glass....we ndio mpanga ratiba wa muheshimiwa
 
huwezi kufanya shughuli za uzinduzi wa ofisi siku ya mwaka mpya, no wonder aliwapiga chini! Isitoshe, notice yenyewe ya December 28 kwa tukio la January 1st ilikuwa too short, tayari kulikuwa na prior commitments zimepangwa tangu November.

mwaka mpya ni siku ya kula bata na marafiki/ndugu si shughuli za kazi,mnemuita siku nyingine

Kama aliwakubaria alafu akutoa udhuru yoyote basi itakuwa akuwafanyia haki wapiga kura wake
Cha msingi akakae nao na kujaribu kuwaweka sawa na yafutwe majukum menginewanayotakiwa kuyatekeleza kwa pamoja
 

Tutaaminije kama ulichokileta hapa ni kweli?
 
Kuna kalenda moja iliwahi kutolewa na gazet moja mwanachi! Ikiwa imeandikwa hivi!
"Nani atakukomboa"mbunge,msanii,mchezaji,
 

Mmoja kati ya wabunge waliokota shiling gizani.
 
Huumwaliko mbona kama ulikuwa wa ghafla sana? within two days? Kosa la Sugu hapo kukbali huo mwaliko halafu siku yenyewe hakutokea.
 
Kumbe sugu is on demand..mwanzoni alionekana mzugaji.. Kama yupo JF aje atoe maelezo..lazima tutoe nafasi kwa pande zote mbili, kumhukumu mtu bila kupewa nafasi na yeye asikilizwa ni kuvunja natural justice ambayo ni haki ya binadamu..
 
kudharau watu walokupa kampani ni laana..

Japo Sugu sio Chaguo langu,lakini hao watu wa bajaj lazima wawe na uelewa juu ya mialiko ya viongozi,huwezi kumdaka kiongozi ndani ya siku 2 aje kuwa mgeni rasmi harakaharaka kama kuku! ujue naye ni binadamu na ana mipango yake,afterall ni mwisho wa mwaka mipango huwa ina muingiliano.Sioni kosa lake.
 

Nyie leo id ya TUNTEMEKE anaitumia nani
 
Last edited by a moderator:
Nyie leo id ya TUNTEMEKE anaitumia nani

Natamani Invisible afuatilie mjadala huu, maana huu mpango kufungua ID za makundi unaoratibiwa na CDM unashusha heshima ya jukwaa. Labda iwe ni kwa maslahi ya chama lakini jf inapoteza zaidi na nina imani mnaouwezo wa kuzidhibiti hizi ID mseto zoote.
 
Last edited by a moderator:
we mwehuu tu, nani ulimwona anafanya kazi hyo cku ya mwaka mpya? Haukuona lowasa aliandaa sherehe nyumbn kwake? Na kamanda sugu aliamua kufunga mwaka hvyo. By the way au haujui km amefanikisha ujenzi barabara ndogo zote km hyo ya mafiati-samora? Acha umbea na unafiki weka evidence ueleweke. Huyo ndo mbunge wetu anayekubalika na watu wenye akili na wanaona mazuri anayofanya. Au ndo wivu kuona kafungua net cafe ya izzo b? Jirambeee!
 
Kwa nini alikubali na kuahidi kufika? Tuache kutoa defends za kinafiki na kisiasa. Kumbuka Sugu alipata ubunge pale kwa kuwa wananchi hasa vijana walala hoi walichoka na CCM na si kwamba walimpenda sana. Hata wewe na hizo akili zako ulikuwa na chance kubwa kama ungegombea against CCM.
 
JF kimekuwa kama kijiwe cha kahawa.. Yaani mtu analeta allegations hazina hata ushahidi na zinajadilika mpaka mapovu yanawatoka..! Ni sahihi kweli hii..?

Au ndio imevamiwa JF ciku hizi na kizazi cha fb..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…