Oneni mitanzania ilivyo mijinga

Status
Not open for further replies.
waandishi wananmilikiwa na mafisadi. Kwahiyo mawe yarushwe kwa mafisadi waandishi wawe huru.
 
''Fortunately, the Tanzanian Head of State, Mr Jakaya Kikwete, is a cool and considerate gentleman, unlike most African leaders. He has already indicated his willingness to appoint a constitutional commission''.

Ha ha ha ha ha,nakubali mi naweza kuwa mjinga ila kwa sentensi hiyo hapo juu,huyu Prof.hamfahamu vizuri JK,anaweza kuwa kama sisi tuliomuona cool,gentlemen and considerate tukampa kura.......he is the opposite Prof.

Ila tunashukuru kwa analysis nzuri sana!!
 
You are right Michelle. I can't agree with you more!
 
''Fortunately, the Tanzanian Head of State, Mr Jakaya Kikwete, is a cool and considerate gentleman, unlike most African leaders. He has already indicated his willingness to appoint a constitutional commission''.

Ha ha ha ha ha,nakubali mi naweza kuwa mjinga ila kwa sentensi hiyo hapo juu,huyu Prof.hamfahamu vizuri JK,anaweza kuwa kama sisi tuliomuona cool,gentlemen and considerate tukampa kura.......he is the opposite Prof.

Ila tunashukuru kwa analysis nzuri sana!!
Nakubaliana na wewe kabisa kwa hoja hii Michelle!!
 
''Fortunately, the Tanzanian Head of State, Mr Jakaya Kikwete, is a cool and considerate gentleman, unlike most African leaders. He has already indicated his willingness to appoint a constitutional commission''.

Ha ha ha ha ha,nakubali mi naweza kuwa mjinga ila kwa sentensi hiyo hapo juu,huyu Prof.hamfahamu vizuri JK,anaweza kuwa kama sisi tuliomuona cool,gentlemen and considerate tukampa kura.......he is the opposite Prof.

Ila tunashukuru kwa analysis nzuri sana!!

ingekuwa wakati wa kampeni, JK angetumia hiyo statement ya prof kuombea kura
 
MWANDISHI WA MAKALA HII HAPA CHINI NI PROFESSOR WA HISTORIA CHUO KIKUU CHA NAIROBI...NIMEPENDA SANA MAKALA YAKE IMENIKUMBUSHA JINSI SISI TULIVYO WAJINGA...KWA NINI WATANZANIA TUSIIGE MFANO WA WATU WA KENYA? BADALA WATU WAANGALIE MAMBO YA MSINGI WANAKALIA KUSEMA KUCHAKACHUA, KUCHAKACHUA HIVI MITANZANIA KWANINI MIJINGA??? SOMENI

Daily Nation: - Opinion |Tanzanians waking up from long slumber
Unawatukana mpaka wazazi wako, Kijana umefikia kiasi cha kukosa adabu na heshima kiasi iki?
 
watu hujifunza kutokana na makosa.
sisi tumebahatika kuona makosa na madhara ya njia walizopitia wenzetu hao wa kenya na wengine,cha msingi we have to learn from them and take the good moves only.
hii kitu commissions hii sijui itaisha lini,tunataka mkutano wa kikatiba tuwe na sauti kwenye maoni tutakayotoa na maamuzi yake
 
"But the democratic train, being ridden by the radicals, the Zanzibari secessionists, the tribalists and wranglers, has just left the station, and must be contained, without police bullets."

sawa nakubaliana naye kwamba polisi wasitumie risasi, lakini sidhani kama nakubaliana naye hapo kwenye rangi nyekundu. ama haelewi vizuri kinachoendelea au alikusudia kututukana!
 
"It is equally important for Tanzanians to quickly learn that Kenyans are with them and that together, we can make East Africa a very pleasant place to live in.

Together we must push the East African Community forward, in order to expand the benefits of our region, for ourselves, our children and our progeny."

is he serious? tunafanana kweli?
 
Unawatukana mpaka wazazi wako, Kijana umefikia kiasi cha kukosa adabu na heshima kiasi iki?
Binafsi sioni kama kamtukana mtu yeyote. Hii ni analysis nzuri tu na imekuwepo muda mrefu. Tatizo kubwa la jamii ya Tanzania kushindwa kuwa na fukuto la kisiasa ni kukosa mfukuto wa harakati dhidi ya migongano (contadictions) zilizokuwa zinajitokeza. Ndio maana kwa muda mrefu Watanzania wamekuwa wakiridhika na hali za maisha yao bila kuwa na sehemu ya kuanzia harakati hizo.
 
It is equally important for Tanzanians to quickly learn that Kenyans are with them and that together, we can make East Africa a very pleasant place to live in.

Together we must push the East African Community forward, in order to expand the benefits of our region, for ourselves, our children and our progeny.

I agree with the writter on these lines...!
 
''Fortunately, the Tanzanian Head of State, Mr Jakaya Kikwete, is a cool and considerate gentleman, unlike most African leaders. He has already indicated his willingness to appoint a constitutional commission''.

Ha ha ha ha ha,nakubali mi naweza kuwa mjinga ila kwa sentensi hiyo hapo juu,huyu Prof.hamfahamu vizuri JK,anaweza kuwa kama sisi tuliomuona cool,gentlemen and considerate tukampa kura.......he is the opposite Prof.

Ila tunashukuru kwa analysis nzuri sana!!

Umeniwahi Michelle. The man has only been considerate kwa wezi wa EPA ... 'warudishe'; wala rushwa ... 'nawawajua nawapa muda wajirekibishe' etc. Ila kwa wananchi, haiwezekani kusomesha bure; simenti haiwezi kushuka, na kwa kejeli anasema kelele za mlango hazimzuii .... Malizieni.
 
Ushauri wa bure kwako mtoa mada KAYAGILA. Mara nyingine ukitaka kutuma kitu kwenye jamvi hili hakikisha unasoma vizuri na kuelewa vyema kilivyoandikwa. Kwa hiyo headed yako haiendani na alichoandika mwandishi maana nimesoma na sijaona sehemu Prof. alipoandika kwamba watanzania ni mijinga. Kuwa makini mara nyingine unapotuma topic na kichwa habari unachotumia
 
Quinty, I beg to differ with you mkuu. The article is very insulting, if you fully comprehend the context and his choice of words.
 
Umeniwahi Michelle. The man has only been considerate kwa wezi wa EPA ... 'warudishe'; wala rushwa ... 'nawawajua nawapa muda wajirekibishe' etc. Ila kwa wananchi, haiwezekani kusomesha bure; simenti haiwezi kushuka, na kwa kejeli anasema kelele za mlango hazimzuii .... Malizieni.

Inavyoonekana international community na intellectuals kama huyu Prof wana picha tofauti ya JK,ndo maana yuko comfortable sana kusafiri safiri,ngoja wamsome vizuri,mi nimeshangaa kama Prof wa Kenya anamuona hivyo,Hilary Clinton anamuonaje huko US??
Huwezi jua wanafikiria ndo role model wa viongozi wa Afrika.......lol :A S shade:
 
''Fortunately, the Tanzanian Head of State, Mr Jakaya Kikwete, is a cool and considerate gentleman, unlike most African leaders. He has already indicated his willingness to appoint a constitutional commission''.

Ha ha ha ha ha,nakubali mi naweza kuwa mjinga ila kwa sentensi hiyo hapo juu,huyu Prof.hamfahamu vizuri JK,anaweza kuwa kama sisi tuliomuona cool,gentlemen and considerate tukampa kura.......he is the opposite Prof.

Ila tunashukuru kwa analysis nzuri sana!!

Umenena sawia. Asante
 
huyo profesa haya mambo ya tz yanamhusu nn? kwa nn asiende kuwapa ushauri wakenya wenzake kuhusu huyo kibaki wao.......... Tena nina waswas kuwa hata huyu alishrika kumpa JK u dk feki....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom