One World Government inakuja, Afrika tumekwisha!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Huu ni mpango wa maelite wa Dunia wa siku nyingi sana kuunganisha Dunia nzima chini ya utawala wa wachache yaani itaitwa One World Government na ndiyo hasa lengo la kuanzisha Umoja wa Mataifa UN, ingawaje wengi wamekuwa wakiponda kwamba ni conspiracy theory lkn kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ukweli huu unavyodhihiri kwamba One World Government imefika!

Kuna sababu kwa nini Uingereza imejitoa EU, hivi sasa EU wanapanga kuunda US of Europe kuondoa mipaka na nchi na hivyo kuwa na nchi ya EU, chini ya Raisi mmoja wa EU, Marekani Kaskazini nako kuna NAFTA yaani muungano wa Kanada, USA na Mexiko tayari umeiva na Obama alikuwa Kanada juzi kati kufanikisha hili kuna sababu kwa nini D.Trump anatukanwa na kuadhalilishwa na media kwa maana haungi mkono NAFTA yaani muungano wa USA, Kanada na Mexiko sasa kama hili halitoshi Umoja wa Afrika AU umeanzisha African Passport yaani maana yake ni kwamba nchi zote ya Kiafrika zitakuwa na passport moja, unaondoa viza baina ya nchi hii inakuja sambamba na ziara ya Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu AM ambapo atatembelea pmj na nyingine nchi ya Rwanda ambako ndiko Passport ya Afrika itaanzishwa!

Tafadhali raisi Magufuli iondoe nchi yetu AU, tafadhali nchi yetu isijiunge na passport ya Afrika hatuihitaji, Botswana raisi Ian Khama ameshaistukia AU na sasa Botswana haijihuisishi na umoja huo kihivyo na wala Botswana haimo kwenye mpango wa African passport, huu ni mpango wa maelite kuunganisha Bara lote la Afrika chini ya mtawala mmoja simtaji kwa sasa lkn mnaweza kumuotea ambaye yeye atakuwa anawakilisha matakwa ya wakubwa, tuikatae AU, vinginevyo tutakuwa watumwa forever ...

Waingereza wameshtukia na kutoka EU au kujaribu kutoka EU, wengine watafuata lkn haitakuwa rahisi...

*
Msichanganye OAU iliyoanzisha na akina Nyerere, Nkrumah &Co. na AU hiyo ilikufa na ndiyo maana hata jina likabadilishwa likaitwa AU, angalia ufanano hapo AU, EU, UN ...

African Union to introduce an African passport
 
Haitakuja dunia nzima ikaungana, wengine wapo tayari kufa ilimradi tu wasiungane
 
Magufuli wala Afrika haiwezi kutoka katika utumwa wa ulimwengu huu. ikiwa itaweza kufanya mambo haya naweza kupata tamaa juu ya kujiondoa kwenye utumwa wa ulimwengu.
1 Kuchapisha Pesa nchini mwao
2 Kutotegemea misaada ya nje.
3 Kutengeneza vyombo vya usafiri nchini.
4 Kumiliki na kuweka bei ya Dhahabu,Shaba,Chuma,Gesi na rasilimali yote za nchi na kuwa chini ya wawekezaji wazawa.
5 Kuwatumia na kuwapa nafasi wataalamu na wasomi wa nchi zao ili kuzisaidia nchi zao kuleta maendeleo.
 
Haitakuja dunia nzima ikaungana, wengine wapo tayari kufa ilimradi tu wasiungane

Hao wanashughulikiwa tayari ndiyo maana unaona kiongozi wa bBazili ameondolewa, sasa hivi wanakula sahani moja na wa Venezuela naye ataachia muda siyo mrefu, Cuba tayari, Ulaya amebakia Urusi tu lkn naye wanamzimgira kila siku sasa hivi NATO imezipa uanachama nchi zote zilizokluwa sehemu ya Muungano wa Kisovieti na ambazo zina mpaka mmoja na Urusi na moja kati ya masharti ya NATO ni kwamba Mwanachama mmoja akivamiwa basi ni NATO nzima imevamiwa na inajukumu la kuingia vitani, hivyo Urusi akivamia nchi yoyote ile hata kwa lengo la kujilinda basi ametangaza vita dhidi ya USA, EU,&Co. ...
 
Hii mikadi ya nida inasababisha kila kitu chetu kinakuwa kwao
 
what we need is one government one currency and one leader on the earths surface, hamtaki jiandaeni kulala rumande .Hili ni jambo la lazima kwa ulimwengu unaoendelea!!
 
Huu ni mpango wa maelite wa Dunia wa siku nyingi sana kuunganisha Dunia nzima chini ya utawala wa wachache yaani itaitwa One World Government na ndiyo hasa lengo la kuanzisha Umoja wa Mataifa UN, ingawaje wengi wamekuwa wakiponda kwamba ni conspiracy theory lkn kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ukweli huu unavyodhihiri kwamba One World Government imefika!

Kuna sababu kwa nini Uingereza imejitoa EU, hivi sasa EU wanapanga kuunda US of Europe kuondoa mipaka na nchi na hivyo kuwa na nchi ya EU, chini ya Raisi mmoja wa EU, Marekani Kaskazini nako kuna NAFTA yaani muungano wa Kanada, USA na Mexiko tayari umeiva na Obama alikuwa Kanada juzi kati kufanikisha hili kuna sababu kwa nini D.Trump anatukanwa na kuadhalilishwa na media kwa maana haungi mkono NAFTA yaani muungano wa USA, Kanada na Mexiko sasa kama hili halitoshi Umoja wa Afrika AU umeanzisha African Passport yaani maana yake ni kwamba nchi zote ya Kiafrika zitakuwa na passport moja, unaondoa viza baina ya nchi hii inakuja sambamba na ziara ya Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu AM ambapo atatembelea pmj na nyingine nchi ya Rwanda ambako ndiko Passport ya Afrika itaanzishwa!

Tafadhali raisi Magufuli iondoe nchi yetu AU, tafadhali nchi yetu isijiunge na passport ya Afrika hatuihitaji, Botswana raisi Ian Khama ameshaistukia AU na sasa Botswana haijihuisishi na umoja huo kihivyo na wala Botswana haimo kwenye mpango wa African passport, huu ni mpango wa maelite kuunganisha Bara lote la Afrika chini ya mtawala mmoja simtaji kwa sasa lkn mnaweza kumuotea ambaye yeye atakuwa anawakilisha matakwa ya wakubwa, tuikatae AU, vinginevyo tutakuwa watumwa forever ...

Waingereza wameshtukia na kutoka EU au kujaribu kutoka EU, wengine watafuata lkn haitakuwa rahisi...

*
Msichanganye OAU iliyoanzisha na akina Nyerere, Nkrumah &Co. na AU hiyo ilikufa na ndiyo maana hata jina likabadilishwa likaitwa AU, angalia ufanano hapo AU, EU, UN ...

African Union to introduce an African passport

Labda Mugabe awe hayupo na asiache legacy yake
 
OWG ishakuwepo since then mkuu!

hata sasa dunia ina serikali ( au elite group) wanaojulikana

sio rahisi wa ka impose kiuwazi kabisa, dunia sio rahisi kuongozwa na serikali moja; unawajua wachina? waarabu? unawajua warusi?

usifikiri dunia ni wazungu tu na waafrika

wahindi+wachina ni wengi zaidi dunia hii kuliko mataifa yeyote yale

relax

wewe subiria chadema wakishika nchi mwaka 2075
 
Watakuelewa wanaoujua UNABII WA BIBLIA kwani ulimwengu upo gizani kuhusu yaliyo mbele yetu

Kuiunganisha dunia chini ya One World Government haitokaa itikee.. Hili liko wazi kabisa katika maandiko. (Kwa tunaoamini biblia) hivyi basi watatumia nguvu sana lakini kuna ambao watapinga kufa na kupona hapo ndipo vita vitaanza...

UNABII lazima utimie....

Daniel 2:41 Na kama vile ulivyoziona hizo nyayo za miguu na vidole vyake, kuwa nusu udongo wa mfinyanzi, na nusu chuma, ufalme ule utakuwa ufalme uliogawanyika; lakini ndani yake zitakuwako nguvu za chuma, kama vile ulivyoona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope. 2:42 Na kama vidole vya zile nyayo vilikuwa nusu chuma na nusu udongo, kadhalika ufalme ule utakuwa nusu yake una nguvu, na nusu yake umevunjika. 2:43 Na kama vile ulivyokiona kile chuma kimechanganyika na udongo wa matope, watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo.
 
Huu ni mpango wa maelite wa Dunia wa siku nyingi sana kuunganisha Dunia nzima chini ya utawala wa wachache yaani itaitwa One World Government na ndiyo hasa lengo la kuanzisha Umoja wa Mataifa UN, ingawaje wengi wamekuwa wakiponda kwamba ni conspiracy theory lkn kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ukweli huu unavyodhihiri kwamba One World Government imefika!

Kuna sababu kwa nini Uingereza imejitoa EU, hivi sasa EU wanapanga kuunda US of Europe kuondoa mipaka na nchi na hivyo kuwa na nchi ya EU, chini ya Raisi mmoja wa EU, Marekani Kaskazini nako kuna NAFTA yaani muungano wa Kanada, USA na Mexiko tayari umeiva na Obama alikuwa Kanada juzi kati kufanikisha hili kuna sababu kwa nini D.Trump anatukanwa na kuadhalilishwa na media kwa maana haungi mkono NAFTA yaani muungano wa USA, Kanada na Mexiko sasa kama hili halitoshi Umoja wa Afrika AU umeanzisha African Passport yaani maana yake ni kwamba nchi zote ya Kiafrika zitakuwa na passport moja, unaondoa viza baina ya nchi hii inakuja sambamba na ziara ya Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu AM ambapo atatembelea pmj na nyingine nchi ya Rwanda ambako ndiko Passport ya Afrika itaanzishwa!

Tafadhali raisi Magufuli iondoe nchi yetu AU, tafadhali nchi yetu isijiunge na passport ya Afrika hatuihitaji, Botswana raisi Ian Khama ameshaistukia AU na sasa Botswana haijihuisishi na umoja huo kihivyo na wala Botswana haimo kwenye mpango wa African passport, huu ni mpango wa maelite kuunganisha Bara lote la Afrika chini ya mtawala mmoja simtaji kwa sasa lkn mnaweza kumuotea ambaye yeye atakuwa anawakilisha matakwa ya wakubwa, tuikatae AU, vinginevyo tutakuwa watumwa forever ...

Waingereza wameshtukia na kutoka EU au kujaribu kutoka EU, wengine watafuata lkn haitakuwa rahisi...

*
Msichanganye OAU iliyoanzisha na akina Nyerere, Nkrumah &Co. na AU hiyo ilikufa na ndiyo maana hata jina likabadilishwa likaitwa AU, angalia ufanano hapo AU, EU, UN ...

African Union to introduce an African passport
Wairudishe kwanza uingereza kundini ndo waje huku
 
Back
Top Bottom