One night stand ...

Ni UASHERATI tu wala hakuna kingine...

Pengine ni ngumu kujizuia kufanya dhambi, lakini wanadamu kwa kiburi chetu tunahalalisha dhambi na kuifanya ni jambo la kawaida tu.
 
Weee nipishe huko...imesikia nna shida na serengeti mimi? Mi nyanya ndio...una uhakika gani kwamba mi mtu?

Hebu acha kuumiza vidole visivyo na hatia kwa kuving'ata...

kwani bibie, ushawahi kuonja apple jekundu?

Ngoja nikwambie kitu.... uji wa ugenini huwa ni mtam sana kuliko ule uliopika mwenyewe!

ushawahi kujiuliza kwanini mrembo?

nipo hapa leo kwa ajili yako...
 

Hahaha..utanichomoa mbavu mkuu.
 
Hahaha..utanichomoa mbavu mkuu.

aisee mimi mpaka leo nishajianzia mazoezi dadeki..

Mfano mke wangu akijakuwa kuwa na kilo 70, mimi inabidi nibebe kilo 140.. makusudi tu niweze kum-handle..!

si unajua tena wanawake wanaongelea mioyoni eenh? hata sex nayo hawasemi kama wameridhika ama la!

Usipojiongeza utakuja kuta mkeo ana RUSHWA ROHO na wavuta kokoro, tena pale pale ziwani dadeki...
 
hahaaaha kumbe ni tamuu ee 1 night stand haaaa umenipa raha evelyn
 
Dah!!! Hivi, unalalaje na mtu hata humjui? (wakati mwingine hata majina hawatambulishani)..
..Kweli kuna watu wana mioyo minene...!

unalala nae wanavyolala mkuu..majna yanajulkana ni baby honey darln bas ili mrad fujoo hahaaa raha
 
yeeerrrr ni tamuuu sanaaaa i thank God naendelea kuinjoi till dis time woohhhh ile ni tit for tat

mie nliwai kutana na mdada katumwa mboga sokoni hanijui wala cmjui lakn zari tu njiani stori stori mpk tukakubaliana twende gest tukapige show ya kibabe. vipi hiyo nayo ni ONE NIGHT STAND au
 
Nipo na my one night stand hadi kesho....
sijui status ya u-one night ilichange au, make makubaliano ni kuonjeshana tu afu tusijuane
ila ndo bado naonja hadi sahivi

kwahiyo one night stand inaweza kuzaa kitu kingine.......?
 
Mbona ni ngumu katika mazingira ya kawaida
Hivi akikuulia ndani ya chumba ?
Kuna vitu vingine unaangalia usalama wako looh ,hivi mtu unakutana nae tu na kubanjuana ni ngumu kama kukamata mawingu
 
Hii ni kawaida kwa mwanadamu hasa sisi wa kizazi hiki, tunapenda kujaribu vitu vipya, kupita njia mpya, kuonja ladha nyingine. Tunapenda kuonekana wa tofauti, kuonekana mashujaa, wajasiri na ikifika hapo "one night stand" inakuwa ni maabara nyingine ya kufanyia utafiti. Huwa hatuchukui tahadhari thabiti. Ni ukweli usiokuwa na shaka kuwa wengi mara baada ya show nafsi zao hutafunwa na hofu, majonzi na huzuni.
 

Mkeo ni mkeo mkuu huwez kumniga km mko kwny mieleka et ngono afurahie mmh hpn
 
Last edited by a moderator:
Mbona humu watu wanaomba omba tu wakati hatujuani
cha kuogopesha kipi hasa!!!!

Mmmmh..unazidi kunifanya nifkiri zaidi...humu watu wanaombana "nakubali' lakini si wanafahamiana kwanza, wanakuwa marafiki angalau kwa mda kabla ya kuvuana kyupi? Au nyie wenzetu mnafanyaje?, manake nisije kuwa "outdated"
..Tofauti na wewe mfano, ulikutana na mtu kwenye basi, mmesafiri toka Dar mkafika Mwanza sa tano usiku, mkaamua kulala pamoja...mmmh..kesho asubuhi kila mtu na njia yake hata majina hamjuani, jamani...!!
 
1 night stand mbn watu wanapiga sana tu pale kona baa na wanarudi home fit kabisaa heshima sana kwa wadada pale na sehemu zootee wanaotoq huduma kwa wenye kiu tii kiu yako kama unywavyo sprite
 
mie nliwai kutana na mdada katumwa mboga sokoni hanijui wala cmjui lakn zari tu njiani stori stori mpk tukakubaliana twende gest tukapige show ya kibabe. vipi hiyo nayo ni ONE NIGHT STAND au

hii ni One Mboga stand mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…