Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,483
- 145,818
Duuh Nyani Ngabu...Naomba nikutwange swali kwenye hiyo One night stand huwa mnajisikiaje pale mnapomega demu ulieyekutana nae sehemu kama hiyo..Unakuwa salama kabisa home kwake...Comfortable :A S 101: and ?????
mmhhh hatatri iyo jsmsn msifanye ivo tena
mungu apendi ata mwandosya pia ataki
Mkuu NN ......... huyo ni mtu mzito sana Bongo. Jitahidi kupata habari za Bongo sometimes maana ni vizuri kujua nchi inaendaje.Mwandosya ndio nani na kaingiaje hapa?
Mkuu NN ......... huyo ni mtu mzito sana Bongo. Jitahidi kupata habari za Bongo sometimes maana ni vizuri kujua nchi inaendaje.
Mkuu nadhani tukisema Clinton kimazoea watu tutamchukulia Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton. Kwa hyo japokuwa cna hakika na uhusiano uliopo baina ya Mark Mwandosya na 1 night stand lakini bado ninaamini msemaji alikuwa na maana ya Mark Mwandosya. Labda sasa tumuulize msemaji ana maana gani au kuna uhusiano gani kati ya Mwandosya na hiyo ishu yetu ya one night stand.Bana eeh kwani bongo nzima kuna Mwandosya mmoja tu?
Kama wewe unamzungumzia Mark Mwandosya...huyo huenda mimi nimemjua kabla yako tokea akiwa chuo kikuu...na wanawe wamesoma Aga Khan Mzizima....niendelee?
Do you think I'm out of touch of something?
Sasa hebu jaribu kuunganisha Mwandosya na one night stand....kuna uhusiano gani hapo? Unless uniambie Mark Mwandosya anahusika na one night stand....is that so?
Simple!Mkuu nadhani tukisema Clinton kimazoea watu tutamchukulia Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton. Kwa hyo japokuwa cna hakika na uhusiano uliopo baina ya Mark Mwandosya na 1 night stand lakini bado ninaamini msemaji alikuwa na maana ya Mark Mwandosya. Labda sasa tumuulize msemaji ana maana gani au kuna uhusiano gani kati ya Mwandosya na hiyo ishu yetu ya one night stand.
Mkuu nadhani tukisema Clinton kimazoea watu tutamchukulia Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton. Kwa hyo japokuwa cna hakika na uhusiano uliopo baina ya Mark Mwandosya na 1 night stand lakini bado ninaamini msemaji alikuwa na maana ya Mark Mwandosya. Labda sasa tumuulize msemaji ana maana gani au kuna uhusiano gani kati ya Mwandosya na hiyo ishu yetu ya one night stand.
Zile bwana mara nyingi zinapotokea damu huwa inatembea zaidi kwenye kichwa kdogo kuliko kikubwa.Vipi maoni yako kuhusu one night stand?
:hug:Zile bwana mara nyingi zinapotokea damu huwa inatembea zaidi kwenye kichwa kdogo kuliko kikubwa.
We Noname nakuona hapo chini...what say you?
NN u need help...