Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Yalikukuta? Hebu tupashe zaidi..........acha uchoyo hivyo.....................tupanue mawazo wenzio..............
Tatizo ukiwa mkweli huhudumiwi........................ukweli hakuna mwanadada anayetaka kusikia...........hata tunapoomba kumegewa kwanini hamtuulizi mipango ya muda mrefu kama ipo? NI baada ya shughuli nzito hapo ndipo mnapofungua makucha yenu..........ni kwa nini jamani?Mngekuwa mnasema wazi mnachokitaka bila kuweka ahadi za uwongo sidhani kama kungekuwa na tatizo. Mwambie bwana natamani kujivinjari na wewe as in like having sex and not making love...............
......Sikiliza kaka kuna wadada waliowaelewa na atakuheshimu kwa kumweleza ukweli........akiwa anakutamani na yeye anawezaamua kukugaia huku akijua kabisa kuwa wewe huna mpango wa kudumu....mwingine ataamua kugawa for the case of having fun huku akikupania kukuonjesha kila aina ya pepo ili ukinogewa unase..but atakuwa mwelewa kuwa usiponasa asikulaumu kwani ulishasema tangu mwanzo................lol mie nasema tu bana sijui kama ni sahihi au ndivyo ilivyoTatizo ukiwa mkweli huhudumiwi........................ukweli hakuna mwanadada anayetaka kusikia...........hata tunapoomba kumegewa kwanini hamtuulizi mipango ya muda mrefu kama ipo? NI baada ya shughuli nzito hapo ndipo mnapofungua makucha yenu..........ni kwa nini jamani?
Mngekuwa mnasema wazi mnachokitaka bila kuweka ahadi za uwongo sidhani kama kungekuwa na tatizo. Mwambie bwana natamani kujivinjari na wewe as in like having sex and not making love...............
Ninashukuru kwa mchango huo...............wanaumme hatupo hivyo......kwanza tumegewe mengine yatafuata mbele ya safari................hatutaki kujiharibia.......................mwingine ukimweleza hayo swali lake la kwanza ni kuwa..............hivi wangapi umekwisha watumia hivyo............................yaani maswali yakukatishana tamaa.......na mwanzoni kwa vile mwadada bado hajajipanga vizuri kukabiliana na mashambulizi basi unamkamatia chini hapo hapo..............you have to strike the iron while it is still too hot....to run away......lakini kwa wengine ile sasa imekuwa ni noma............utakipata na atakumaliza kwa mdomo wake balaa..........ni matope tu utapakwa.......ukijiuliza kwa nini hakuulizia kabla safari hii haijaanza kama ni ya muda mrefu au ina mashiko ya muda..............hivi hilo naye si jukumu lake kujua basi alililolipanda lampeleka wapi?.......lakini hauulizii na mambo yakienda kombo baada ya burudani ya kukata na shoka hapo ndipo utajua kweli yeye ni nani.........................Sikiliza kaka kuna wadada waliowaelewa na atakuheshimu kwa kumweleza ukweli........akiwa anakutamani na yeye anawezaamua kukugaia huku akijua kabisa kuwa wewe huna mpango wa kudumu....mwingine ataamua kugawa for the case of having fun huku akikupania kukuonjesha kila aina ya pepo ili ukinogewa unase..but atakuwa mwelewa kuwa usiponasa asikulaumu kwani ulishasema tangu mwanzo................lol mie nasema tu bana sijui kama ni sahihi au ndivyo ilivyo
mbona hit and run ndio poa kwa sasa.............uhusiano michosho tu kwana mi nikipata wa hivyo poa sana mara naomba hela, asijibu sms, mara mama vile kha jamani mario mario watupu bora hit and run au service provider tu maisha yanasonga:smile-big:
mngekuwa mnaambiwa lugha ya namna hiyo mngekubali kutoa huo utamu wenu????sidhani!!!!!!!
Hoja hii ina mashiko makubwa..............na hii ni moja ya sababu hatuwezi kuwa wakweli hata siku moja tusije tukanyimwa vinono vya wenzetu................................
Mngekuwa mnasema wazi mnachokitaka bila kuweka ahadi za uwongo sidhani kama kungekuwa na tatizo. Mwambie bwana natamani kujivinjari na wewe as in like having sex and not making love...............
mbona hit and run ndio poa kwa sasa.............uhusiano michosho tu kwana mi nikipata wa hivyo poa sana mara naomba hela, asijibu sms, mara mama vile kha jamani mario mario watupu bora hit and run au service provider tu maisha yanasonga:smile-big:
una chanuo karibu apo?Na ukirogwa ukawa mkweli ndipo utalijua jiji, kwani ni kibuti cha kufa mtu!siku zote mkuu wa mbili havai moja!!Hawa dada zetu wanapokuwa wanatongozwa siku hizi wanajua fika kabisa kuwa jamaa anataka kumega kisha ateleze, wala sio issue ngeni kwao!sasa matokeo yake akishamegwa ndo anaanza stori zake nyingine za honey, sweetheart, wakati jibaba ushatafuta uelekeo mwingine!!!!!!
mngekuwa mnaambiwa lugha ya namna hiyo mngekubali kutoa huo utamu wenu????sidhani!!!!!!!
Did'nt know kama inamatter kwa hit and run............... akikukatalia you dont have anything to loose.Na ukirogwa ukawa mkweli ndipo utalijua jiji, kwani ni kibuti cha kufa mtu!siku zote mkuu wa mbili havai moja!!Hawa dada zetu wanapokuwa wanatongozwa siku hizi wanajua fika kabisa kuwa jamaa anataka kumega kisha ateleze, wala sio issue ngeni kwao!sasa matokeo yake akishamegwa ndo anaanza stori zake nyingine za honey, sweetheart, wakati jibaba ushatafuta uelekeo mwingine!!!!!!
mngekuwa mnaambiwa lugha ya namna hiyo mngekubali kutoa huo utamu wenu????sidhani!!!!!!!
Hoja hii ina mashiko makubwa..............na hii ni moja ya sababu hatuwezi kuwa wakweli hata siku moja tusije tukanyimwa vinono vya wenzetu................................
Tatizo ukiweka wazi mbinu huwezi pata mrembo lazima ufungwe kamba ndo kieleweke.
Kweli ukiwa wazi hufanikishi kitu chochote, na ndio maana wengi kama anataka hit and run atadanganya na ahadi kibao ili aweze kufanikiwa tu.Tatizo ukiweka wazi mbinu huwezi pata mrembo lazima ufungwe kamba ndo kieleweke.
kwa mwanaumme huyu yeye alielewa anajifurahisha tu kwa usiku huo mmoja wa matanuzi.........................kumbe kwa mwanadada huyu yeye aliona huo ulikuwa ni mwanzo wa penzi la milele........................kwa hiyo kila mmoja usiku huo alikuwa na njozi zake.................
Siku iliyofuata waliachana vizuri kwa ahadi ya kuwa wataendeleza ufalme wao wa mahaba kemkem...............njemba iliitikia tu ikijua hiyo ilikuwa a forgettable "one night stand" yaani ndiyo imetoka hivyo lakini njemba huyu hakujua alikuwa amejiingiza bila ya kupenda au kutahadharishwa kwenye vurugu na kasheshe nzito vile.............
Pamoja na jitihada za kumkwepa mwali huyo jamaa alijikuta akiandamwa na sms kibao na simu za hapa kwa pale...................alipoona ni usumbufu ilibidi amwambie wazi mwanadada huyo kuwa .........................aiseeeeeeeeeeeee.............it is over................
yule mwanadada alipogundua kumbe hii njemba ni "hit and run" na wala siyo mwanaumme mwenye mipango madhubuti ya kuishi naye moja kwa zote.....................hasira zilimpanda na akaanza kumsema vibaya jamaa kuwa uume wake kwanza ni mdogo sana na hata mapenzi kitandani hajui................................................na mambo mengi kibao ya hapa na pale.....akamchafua mtaani ile mbaya..............mwenzie akanuka kwa kauli hizo chafu...............za sour grapes..............
hivi kwa nini akina dada ni wazito kuelewa ukimmegea mtu kifaa chako usidhani huo ni mkataba wa kudumu?