"One night stand" yaacha majeruhi na uhasama....ilikuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"One night stand" yaacha majeruhi na uhasama....ilikuwaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Nov 18, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,921
  Trophy Points: 280
  Kwa mwanaumme huyu yeye alielewa anajifurahisha tu kwa usiku huo mmoja wa matanuzi.........................kumbe kwa mwanadada huyu yeye aliona huo ulikuwa ni mwanzo wa penzi la milele........................kwa hiyo kila mmoja usiku huo alikuwa na njozi zake.................

  Siku iliyofuata waliachana vizuri kwa ahadi ya kuwa wataendeleza ufalme wao wa mahaba kemkem...............njemba iliitikia tu ikijua hiyo ilikuwa a forgettable "One night stand" yaani ndiyo imetoka hivyo lakini njemba huyu hakujua alikuwa amejiingiza bila ya kupenda au kutahadharishwa kwenye vurugu na kasheshe nzito vile.............

  Pamoja na jitihada za kumkwepa mwali huyo jamaa alijikuta akiandamwa na sms kibao na simu za hapa kwa pale...................alipoona ni usumbufu ilibidi amwambie wazi mwanadada huyo kuwa .........................aiseeeeeeeeeeeee.............it is over................

  Yule mwanadada alipogundua kumbe hii njemba ni "hit and run" na wala siyo mwanaumme mwenye mipango madhubuti ya kuishi naye moja kwa zote.....................hasira zilimpanda na akaanza kumsema vibaya jamaa kuwa uume wake kwanza ni mdogo sana na hata mapenzi kitandani hajui................................................na mambo mengi kibao ya hapa na pale.....Akamchafua mtaani ile mbaya..............mwenzie akanuka kwa kauli hizo chafu...............za sour grapes..............

  Hivi kwa nini akina dada ni wazito kuelewa ukimmegea mtu kifaa chako usidhani huo ni mkataba wa kudumu?
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  :tape::tape::tape::tape:
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mngekuwa mnasema wazi mnachokitaka bila kuweka ahadi za uwongo sidhani kama kungekuwa na tatizo. Mwambie bwana natamani kujivinjari na wewe as in like having sex and not making love...............
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,921
  Trophy Points: 280
  Yalikukuta? Hebu tupashe zaidi..........acha uchoyo hivyo.....................tupanue mawazo wenzio..............
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,921
  Trophy Points: 280
  Tatizo ukiwa mkweli huhudumiwi........................ukweli hakuna mwanadada anayetaka kusikia...........hata tunapoomba kumegewa kwanini hamtuulizi mipango ya muda mrefu kama ipo? NI baada ya shughuli nzito hapo ndipo mnapofungua makucha yenu..........ni kwa nini jamani?
   
 6. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hit and run ndio poa kwa sasa.............uhusiano michosho tu kwana mi nikipata wa hivyo poa sana mara naomba hela, asijibu sms, mara mama vile kha jamani mario mario watupu bora hit and run au service provider tu maisha yanasonga:smile-big:
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ......Sikiliza kaka kuna wadada waliowaelewa na atakuheshimu kwa kumweleza ukweli........akiwa anakutamani na yeye anawezaamua kukugaia huku akijua kabisa kuwa wewe huna mpango wa kudumu....mwingine ataamua kugawa for the case of having fun huku akikupania kukuonjesha kila aina ya pepo ili ukinogewa unase..but atakuwa mwelewa kuwa usiponasa asikulaumu kwani ulishasema tangu mwanzo................lol mie nasema tu bana sijui kama ni sahihi au ndivyo ilivyo
   
 8. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mngekuwa mnaambiwa lugha ya namna hiyo mngekubali kutoa huo utamu wenu????sidhani!!!!!!!
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,921
  Trophy Points: 280
  Ninashukuru kwa mchango huo...............wanaumme hatupo hivyo......kwanza tumegewe mengine yatafuata mbele ya safari................hatutaki kujiharibia.......................mwingine ukimweleza hayo swali lake la kwanza ni kuwa..............hivi wangapi umekwisha watumia hivyo............................yaani maswali yakukatishana tamaa.......na mwanzoni kwa vile mwadada bado hajajipanga vizuri kukabiliana na mashambulizi basi unamkamatia chini hapo hapo..............you have to strike the iron while it is still too hot....to run away......lakini kwa wengine ile sasa imekuwa ni noma............utakipata na atakumaliza kwa mdomo wake balaa..........ni matope tu utapakwa.......ukijiuliza kwa nini hakuulizia kabla safari hii haijaanza kama ni ya muda mrefu au ina mashiko ya muda..............hivi hilo naye si jukumu lake kujua basi alililolipanda lampeleka wapi?.......lakini hauulizii na mambo yakienda kombo baada ya burudani ya kukata na shoka hapo ndipo utajua kweli yeye ni nani...................
   
 10. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nione binti, hii huduma ya hit and run naweza kukupatia dia!!!!!
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,921
  Trophy Points: 280
  Hoja hii ina mashiko makubwa..............na hii ni moja ya sababu hatuwezi kuwa wakweli hata siku moja tusije tukanyimwa vinono vya wenzetu................................
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na ukirogwa ukawa mkweli ndipo utalijua jiji, kwani ni kibuti cha kufa mtu!siku zote mkuu wa mbili havai moja!!Hawa dada zetu wanapokuwa wanatongozwa siku hizi wanajua fika kabisa kuwa jamaa anataka kumega kisha ateleze, wala sio issue ngeni kwao!sasa matokeo yake akishamegwa ndo anaanza stori zake nyingine za honey, sweetheart, wakati jibaba ushatafuta uelekeo mwingine!!!!!!
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tatizo ukiweka wazi mbinu huwezi pata mrembo lazima ufungwe kamba ndo kieleweke.
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  umegeuza kofia ndugu!
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  una chanuo karibu apo?
  bacha chana nywele na utulie stak kelele leo sawa?
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  acha kelele
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Did'nt know kama inamatter kwa hit and run............... akikukatalia you dont have anything to loose.
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Well sasa mnalalamika nini............ The hit and run thing does not have to come smoothly jamani just kama inavyokuwa kwa hao mnaowahit na kuwakimbia. So usumbufu lazima uwepo couse hata mnachokifanya nini si sahihi.
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kweli ukiwa wazi hufanikishi kitu chochote, na ndio maana wengi kama anataka hit and run atadanganya na ahadi kibao ili aweze kufanikiwa tu.
   
 20. K

  Kaisikii Member

  #20
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kikawaida wanaume wakiwa wanataka game wanakuwa wanaomba in that way mwanamke anakuwa anajua kuwa huyu anamaanisha kuwa na mahusianao ya muda mrefu na ya kudumu kiaina.kama ukiwa unataka one nite stand y usiseme moja kwa moja mbona wengine wanasema?huyu mvulana mshamba kwanza atakuwa alikuwa amemlilia demu akaweka mazingira kuwa anataka kwa mahusianao ya muda mrefu kumbe alikuwa anajichimbia shimo loh
   
Loading...